sruggle football club tunaomba msaada jezi, mipira, usafiri tumesajiriwa tupo ligi daraja latatu

Danfordkahwa

Senior Member
Mar 15, 2012
187
14
sisi ni timu ya mpira wa mguu iliyosajiliwa na msajili wa michezo chini ya''NATIONAL SPORTS COUNCIL OF TANZANIA ACT'' ya mwaka 1967 tarehe 05/10/2010 namba ya usajili ni Msc9606(nakala imeambatanishwa)

Tokea usajili wetu tumeshiriki ligi ya TFF mara tatu katika msimu 2010 mpaka 2012. tuna wasiwasi msimu huu hatutaweza kushiriki ligi ya TFF kutokana na kutokuwa na uwezo kwahiyo tunachukua nafasi hii ya pekee kuleta ombi letu kwa wadau mbalimbali wa soka kutusadia na kutushauri namna ya kuweza kutimiza adhima yetu ya kushiriki ligi kuu hii.

kama kutakuwa na uwezekanowa wa kutusadia vifaa vifutavyo
-jezi ya mpira
-viatu vya mpira
-madawa ya maumivu
-maji ya kunywa
tupo dare-salam
-daktari
asanteni 0656015564 0754335845
 
andaa mchanganuo mzuri kabisa wa timu yenu yani mission na vision halafu peleka tigo airtel au zantel au kwenye kampuni lolote kubwa ili muunde link ya kutangaza halafu chengine mjitoe wenyewe kikwelikweli mtafanikiwa..
 
Mko eneo lipi? Nije kuwaona. Siwezi kusaidia kitu bila kujua je mna uwezo wa kutosha. Mimi mdau wa soka nikiwaona 2 ntajua pa kuanzia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom