Spread the Word

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
It all started with a question: How can we inspire people to take action on climate change?

The answer: Ask the people of Sydney Australia to turn off their lights for one hour.

In 2007, an estimated two million Sydney residents turned out their lights for one hour - Earth Hour. In 2008, 371 cities in 35 countries joined the show and the number of participants leapfrogged to around 53 million.

This year on Saturday (March 28, 2009), some 2848 cities, towns and municipalities in more than 84 countries have signed on and promoters are hoping it will attract close to a billion people.


(source: EarthHour.org)

Earth Hour uses the simple action of turning off the lights for one hour to deliver a powerful message about the need for action on climate change.
 
Sasa sisi tuzime saa ngapi wakti umeme wenyewe hakuna ,yaani huu mgao tulionao peke yake unatosha kuwa mchango wetu ,ndio maana yake ,halafu hawajafafanuwa 1 hr kwa vipi maana huenda wao kwao wanapata umeme masaa 24 tene nchi nzima sisi ,hapa ni mijini tu tena bila ya taa za barabarani ,trafiki light unaweza ukabahatika ukaikuta inawaka moja tu ndio hiyo ya kupitisha na kusimamisha magari nafikiri hili tangazo linawahusu huko majuu.
 
inahamasishwa kuzima umeme usio na ulazima kwa saa moja kati ya saa
2.30 mpaka 3.30 usiku (20.30 zo 21.30) local time.
 
Umeme wenyewe mbona Tz hakuna, unaongelea one hour, tz mgao ulitangazwa kuwa masaa manne then masaa manne mengine, jumla masaa 8 kwa siku, lakini leo wamekata umeme kuanzia asubuhi saa nne na hata sasa saa kumi na mbili jioni umeme haujarudi, vipi kule nanjilinji kwenye vibatari wazime nini?..wakizima tuu vibatari kesho kesi za mauaji ya albino zitakuwa zakumwaga...
Inanifanya nione kama hii kitu haiwahusu wadanganyika.
 
Back
Top Bottom