Spika Job Ndugai ana matatizo gani? Kwanini anafuatilia ‘petty issues’?

FB_IMG_1523446475931.jpg
 
Huyo ni mbwa tu na watz wote hadi wa jimbo lake walikuwa wanaombea afe mana hana faida yoyote
 
Alivyoitwa makonda kujieleza,mlishangilia sana wakati alisema baadhi ya wabunge wanasinzia.
Acheni tu kamanda Pasco akajieleze,hii fursa adhimu kwake najua hataiacha
 
Walio karibu na Spika Job Ndugai ni vema wakamwelewesha kuwa ameanza kulikoroga.

Uamuzi wake wa kuchukulia siasa kuwa personal attacks na si siasa unamwonyesha kama mtu wa visasi na ambaye anakosa uvumilivu katika kuendesha chombo kitukufu kama Bunge.

Ndugaii anatakiwa kuwa juu ya masuala petty ya kufuatilia nani kasema nini Facebook, au huyu kasema hivi, na kule huyu katamka vile.

Namwomba Ndugai ajiweke kuwa kama Spika wa Bunge la waTanazania wote na kuacha kuwa narrow minded.
Self centered
 
Pascal nenda kajibu hoja, achana na hawa wenye akili za kushikiwa. Nenda kathibitishe kile ulichoamini na kukiandika.
 
Awamu hii ni ya kukaba tu badala ya ku attack; huwezi kucheza 8-2-0 ukategemea kushinda game. Labda uwe Man.
 
Hivi kuna dikteta kama freeman Mbowe? Miaka zaidi ya 20 amehudumu kama Mwenyekiti kama siyo ubabe in mini kinachomsibu huyu Freman Mbowe
Kwa akili yako fupi kukaa madarakani muda mrefu ndio udikteta? Mbona Sizonje ana miaka miwili tuu na yupo tayari kwenye orodha ya madikteta wa Afrika?
Tumia ubongo kabla ya kuchangia mada za wenye akili. Mpysssdiuuu!
 
Back
Top Bottom