Spencer Lameck Leo Kutupa Raha ITV Habari

Namkubali sana kijana huyo.

Alikuwa Mlimani TV ndipo ITV walipomwona na kumnyofoa kwa donge nono, nadhani hata probation hajamaliza lakini KAZI YAKE INAONEKANA SANA.

SPENCER LAMECK MMOJA NI SAWA NA WATANGAZAJI WOTE WA TBC, STAR TV NA CLOUDS TV NA REDIO ZAO JUMLISHA WAKURUGENZI NA WAMILIKI WAO WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE.
 
Wekeni namba yake ya m-pesa hapa fasta tumpe kamchango huyu mzalendo

Huo ndo ujinga mloambukizwa na mwenyekiti wenu, hicho ndo kihelehele, kwani kaomba mchango wenu? mnatabia za hisiahisia, leo akitoa taarifa isiyokufurahisha tena utasema kapewa pesa na ccm-acheni ujinga
 
KAMECK SPENCER 12j2314961511 hizo hapo mkuu za crdb

Ushabiki mwingine unatia kinyaa, watanzania wana matatizo makubwa sana ya kiakili. kama mmelogwa sawa ila kama mnatumia akili zenu kufanya ninayoyaona, mnahitaji tiba.

Mnamshabikia EL kwa lipi?

1. kuna rekodi ya utendaji kaiweka?
2.Kafuta umaskini jimboni kwake?
3. akiwa waziri kuna mambo muhimu alifanya kwa maslahi ya taifa?
4. Ufisadi wake mnajua umekandamiza maisha ya watanzania wangapi?
5. Jopo la marafiki zake wakuu mnajua wameiletea hasara nchi kwa kias gani?

Mtu anayemshabikia Lowasa namshangaa sana, naelewana na mtu anayepiga kura ili kubadilisha mfumo si kwa sababu ya kumuona Lowasa ni mtendaji katika hii nchi. tusiwe vilaza kias hicho.
 
Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.

Lakini mpendwa POPOMA si unasali kwa nabii flora hayo mambo kwenye red vipi?:wink:
 
Ushabiki mwingine unatia kinyaa, watanzania wana matatizo makubwa sana ya kiakili. kama mmelogwa sawa ila kama mnatumia akili zenu kufanya ninayoyaona, mnahitaji tiba.

Mnamshabikia EL kwa lipi?

1. kuna rekodi ya utendaji kaiweka?
2.Kafuta umaskini jimboni kwake?
3. akiwa waziri kuna mambo muhimu alifanya kwa maslahi ya taifa?
4. Ufisadi wake mnajua umekandamiza maisha ya watanzania wangapi?
5. Jopo la marafiki zake wakuu mnajua wameiletea hasara nchi kwa kias gani?

Mtu anayemshabikia Lowasa namshangaa sana, naelewana na mtu anayepiga kura ili kubadilisha mfumo si kwa sababu ya kumuona Lowasa ni mtendaji katika hii nchi. tusiwe vilaza kias hicho.

Watu wanachagua mabadiliko. Lowassa ni alama ya mabadiliko. Mabadiliko ni kuondoa CCM madarakani, kupinga katiba pandikizwa. Tunataka kuanza upya baada ya chama chako twawala kuivuruga nchi kwa miaka ya hivi karibuni.

Kupigia kura Lowassa ni kupigia mabadiliko, kinyume chake ni kuendeleza ujanja ujanja wa siku zote, wizi, ghiliba na kukuza umaskini ktk nchi
 
Baada ya uchaguzi mtakuwa UKIWA maana hamjitambui mnataka mabadiliko na mabadiliko ni magufuli!..
poleni jaribuni 2020! CCM ni chama,UKAWA ni makubaliano!. Chama(stable) na makubaliano(unpredictable)

Muflisi slogan ya mabadiliko magufuli kaidandia njiani hii inathibitisha kuwa kweli ccm haina pumzi
 
Ushabiki mwingine unatia kinyaa, watanzania wana matatizo makubwa sana ya kiakili. kama mmelogwa sawa ila kama mnatumia akili zenu kufanya ninayoyaona, mnahitaji tiba.

Mnamshabikia EL kwa lipi?

1. kuna rekodi ya utendaji kaiweka?
2.Kafuta umaskini jimboni kwake?
3. akiwa waziri kuna mambo muhimu alifanya kwa maslahi ya taifa?
4. Ufisadi wake mnajua umekandamiza maisha ya watanzania wangapi?
5. Jopo la marafiki zake wakuu mnajua wameiletea hasara nchi kwa kias gani?

Mtu anayemshabikia Lowasa namshangaa sana, naelewana na mtu anayepiga kura ili kubadilisha mfumo si kwa sababu ya kumuona Lowasa ni mtendaji katika hii nchi. tusiwe vilaza kias hicho.

Mabadiliko hayakwepeki subirini malofa na wapumbavu wawaoneshe ubora wao tar 25
 
Huo ndo ujinga mloambukizwa na mwenyekiti wenu, hicho ndo kihelehele, kwani kaomba mchango wenu? mnatabia za hisiahisia, leo akitoa taarifa isiyokufurahisha tena utasema kapewa pesa na ccm-acheni ujinga
Tulia wewe hela atoe mwingine wewe chuki ya nini
 
Back
Top Bottom