NgomaNgumu, hayo ni mawazo yako usifikie mahali unatoa general statements kama hizo inakuwa misleading or misdirected.
Nilikua ninafuatilia hotuba ya Rais wa jamhuri ya Tanzania ndugu JK ktk mtandao wa michuzi leo. Nilichogundua ni kua alizungumza kama professional kwa maana hakuonyesha jazba. Sina maana kua kila alichozungumza ni sawa ispokua alikua professional in the sense hakuonyesha emotional. Ninafikiri unaweza kunielewa vizuri kama ulilinganisha hutuba kama ile kama ingetolewa na Gaddafi
in which field ..... mmmhhhh kutoa hotuba kunahitaji professionalism ...mimi sijui naomba nipite tu
kama inakuwa imeandaliwa imeandikwa, ikapitiwa ikawa edited, ikarekodiwa pia ikawa edited ndo ije kurushwa kwa wananchi UNATEGEMEA NINI?
JK: "Madam Chairman"
haina tofauti na ile cheque ya Exim
Mkwere bwana.
Akiambiwa kuna safari huwa hahariri hata presentation zake.
unatutia aibu JK
wazungu hawakumcheka kwa sababu walijua watatibua dili yao ya kuja kuvuna madini.