Nawabatiza Kwa Moto ,si wanajitoa akili na kuita watu mashoga baada ya kuzidiwa hoja ?Karibu sana Kimbukiko...
Wanakuogopa sasa humu .....
Wapelekee mshono hivyo hivyo, walikuwa wanatukana sana kila mtu anayetoa point..
Sasa wewe umekuja kivyao na kuzidi, naona wanakukimbia ....