"special offer dar -kigali-bujumbura-dar

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ni kuanzia sept 01 2010 mpakaka 31 Nov
wahi haraka ,,ama waone travell agency wa karibu wakusaidie kukupa tkt
for more info
Call-2122402
 
Ni kuanzia sept 01 2010 mpakaka 31 Nov
wahi haraka ,,ama waone travell agency wa karibu wakusaidie kukupa tkt
for more info
Call-2122402

BE SERIOUS! IS IT A FLIGHT,BUS,TOUR OR WHAT AND THEN WHAT AIRLINE,CO ETC .Tukijua angalau hayo utapunguza the number of calls to your always busy TTCL
 
Ni usafiri gani? Kama ni basi jamani msisahau kupita nyumbani Biharamulo manake ni rahisi tu ukifika Lusahunga kata kulia hadi home halafu rudi undelee hadi Kigali!
 
karibuni nyakanazi, kabanga au rulenge on the way to bujumbura
 
we acha kutupotezea muda mbona tanagazo lako halieleweki una offer ya nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom