Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

anac
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.


Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.[/QUOTE
anabeef na muhongo
 
Kwahiyo mruma naye amekabidhiwa (Jeshini) TISS ili tusihoji Tena kama kile KIVUKO????

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hii ni wazi suala muhim,
Process za Magu kuongoza nchi hazikuanza Leo zimeanza mwaka 2013 ,paskali mayala anajua ili, baada ya shinikizo la che nkapa kuwa either anafaa makongoro Nyerere au John magufuli wakaaza process, Na kama hujui siku za miaka ya 2014-2015 John Alikuwa mnyenyekevu sana, akaanza kumulikwa Na vyombo vya habari, Na akawa nk mtu wa kuonekana kwa media bila watu kelewa, lakin Kabla hajawa president Alikuwa Na watu ambao wanampa habari Na si yeye aliye waplant, no ni baadhi ya watu wa juu hawazid 4 ndo walimpa hata report nzima ya bandarini, madini,watumish hewa Na kadharika, sema wengi hamkujua ili maana vichwa vyenu vilikuwa kwenye safari ya matumaini Na kwa Benad , kikwete alishinikizwa kumkubali bwana magu, Na hao akina mruma siyo hao TU wapo wengine wametumwa uko ma STAMICO, Na kwingineko, sasa wanaposema ni Askari alotumwa usidhani ni katumwa mwaka 2015 la hasha,

Haya yanakutosha, Ila magufuli is a planted project kurudisha treni kwenye reli
 
Ama kwa hakika tumsifu na tumtangaze Prof Mruma kuwa shujaa wa Taifa!

Profesa huyu alijipenyeze kwenye uwenyekiti wa bodi na sekta mbalimbali za madini kwa kazi maalumu ya kupata taarifa na mbinu mbalimbali za kuzuia wizi wa miaka mingi wa rasilimali hizi.
Amerisk maisha yake na amejitoa muhanga kwa ajili ya Mama Tanzania.


Kupitia ukurasa huu tutoe pongezi zetu za dhati.


Hivi unajua hiyo post inapatikana vipi?
 
Magufuli ni moja ya watuhumiwa wa mambo ya ovyo yanayotokea ndani ya nchi lakini kuna wapuuzi wao kazi yao kumsifia tu.
Leo anataka kumuua Lissu, unajua kesho atamuua nani ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Sawa pia kama wapo ndani ya CDM kama lengo ni njema kwa manufaa ya wantanzania, unakubali ccm ndo matatizo ya nchi hii?
CCM lazima ihusishwe na matatizo na utatuzi wake katika nchi hii...CCM ni kongwe na ndio tegemeo pekee la nchi hii.
 
Back
Top Bottom