Spacio x g edition/spacio v limited

Jalala

Member
Apr 15, 2010
47
18
Naomba msaada gari hizi mbili tofauti yake ni nini! Na je ni gari imara, Recommendation please wadau.
 
ni gari nzuri sana zipo mbomba hazisumbui kabisa mimi ni spacio new model nimekaa nayo mwaka na nusu haina tatizo lolote na sasa nauza nataka kubadili tu... ipo bomba kama unahitaji ni PM tuwasiliane
 
Shida yake mleta hoja ni tofauti, siyo uzuri au ubaya. Bila shaka kisha zipenda ndio maana anataka apate tofauti zake aweze kufanya uamuzi.

BTW, wewe unayo aina gani kati ya hizo alizouliza inaweza kutusaidia wengi kulingana na sifa ulizotoa.
 
Back
Top Bottom