Southern regions with Male Circumcision......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,563
Hi!
I dont mean to offend anyone but I just want to know if it is true

According to TACAIDS mikoa ya Mbeya and Iringa ina low rate of male circumcision (34.4% and 37.7% respectively) kulinganisha na mkoa wa Manyara ambao prevelence rate ya male circumcision ni zaidi ya 80%. Na hii ni mojawapo ya sababu za mikoa hiyo (Mbeya na Iringa) kuwa na high HIV- prevalence rates wakati Manyara HIV prevalence ni 2%. (HSHS 2008-2012).

Swali: Is it true kuwa Mbeya na Iringa male circumcision rate ni ndogo?
(If true) Is it related to some cultural factors?
 
HE HE HE!wewe!
hebu tuscanie hizo dataaaz uziweke hapa
 
na mademu wa huko wana vuta ile mishavu inakuwa mirefuuuuu..naona akina mwakahuu watakuwa na maelezo ya kutosha.
 
Swali: Is it true kuwa Mbeya na Iringa male circumcision rate ni ndogo?
(If true) Is it related to some cultural factors?[/QUOTE]

Maswali mazuri lakini naona kama yametofautiana hoja uliyotaka kuijenga. Maana ungeweza kuuliza moja kwa moja kama kutotahiri kwa hao jamaa kumetokana na nini? Na pia ungeweza kuuliza kama kutotahiriwa kwao kuna uhusiano na maambukizi makubwa ya ukimwi. Lakini hapo ungebidi uchukue takwimu za mikoa yote ili tuone kama mikoa yote wanaoyotahiri ina maambukizi kidogo na ile wasiotahiri ina maambukizi ni ya chini. Kwa hiyo huwezi kuchukua Mbeya na Iringa pekee halafu ukalinganisha na Manyara.

Hayo maswali yako ni mazuri maana kuna tafiti nyingi zimejaribu kuangalia kama kuna uhusiano kati ya kutahiri na maambukizi ya ukimwi. Kwa maoni yangu hiyo ni njia binadamu ya kutafuta kisingizio kwenye masuala ya ukimwi. Maana tafiti zote zimeonyesha kuwa ukifanya ngono zembe uwe umetahiriwa au hujatahiriwa unakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi. Kwa mfano Ulaya wanaume wengi hawajatahiriwa kuliko Marekani lakini maambukizi ya ukimwi Marekani ni makubwa zaidi kuliko Ulaya.
 
hapo sawa!uwe unatoa source na kuacknooleji kama hivi!
sasa hili swali sijui waulizwe TAKEIDSI wenyewe,au tujastfy sisi....

enewei naamini kuna vinara wa haya mambo hapa

Mmh we nawe mnoko kama nini ......si nimeanza na According to TACAIDS? at least inaonyesha kuwa si mali yangu taarifa hii bwana.
 
Swali: Is it true kuwa Mbeya na Iringa male circumcision rate ni ndogo?
(If true) Is it related to some cultural factors?

Maswali mazuri lakini naona kama yametofautiana hoja uliyotaka kuijenga. Maana ungeweza kuuliza moja kwa moja kama kutotahiri kwa hao jamaa kumetokana na nini? Na pia ungeweza kuuliza kama kutotahiriwa kwao kuna uhusiano na maambukizi makubwa ya ukimwi. Lakini hapo ungebidi uchukue takwimu za mikoa yote ili tuone kama mikoa yote wanaoyotahiri ina maambukizi kidogo na ile wasiotahiri ina maambukizi ni ya chini. Kwa hiyo huwezi kuchukua Mbeya na Iringa pekee halafu ukalinganisha na Manyara.

Hayo maswali yako ni mazuri maana kuna tafiti nyingi zimejaribu kuangalia kama kuna uhusiano kati ya kutahiri na maambukizi ya ukimwi. Kwa maoni yangu hiyo ni njia binadamu ya kutafuta kisingizio kwenye masuala ya ukimwi. Maana tafiti zote zimeonyesha kuwa ukifanya ngono zembe uwe umetahiriwa au hujatahiriwa unakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi. Kwa mfano Ulaya wanaume wengi hawajatahiriwa kuliko Marekani lakini maambukizi ya ukimwi Marekani ni makubwa zaidi kuliko Ulaya.[/QUOTE]

Aksante mkodoleaji kwa ufafanuzi huu

Mimi nimeuliza tu kienyeji si kitaalamu maana nimeshtushwa na taarifa hii (mimi binafsi) sikuwa nahisi wala kufikiri kuwa mikoa hiyo kuna watu wasiokata.. ndo mana mimacho ikanitoka kama mjusi alobanwa na mlango!!
 
[/QUOTE]

Hiyo ni kawaida mwanajamii.
Unajua mara nyingi kwa sisi binadamu tulivyo, huwa tunaamini maisha tunayoishi sisi na wengine ni hivyo hivyo mpaka pale tunapokuja kukumbana nao tunaona kwamba wanaishi tofauti. Kwa mfano kwa mjibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni karibu asilimia 35 ya wanaume wote duniani ndiyo imetahiriwa na 65 hawajatahiriwa. Hivyo siyo kitu cha ajabu kukuta Tanzania kuna makabila ambayo hayatahiri kabisa.
 
Hiyo tabia ya magovi ni ya ajabu tu hata ingekuwa 95% ya watu wana magovi haiwezi kufanya kiwe nikitu cha kawaida.
 
Hata hivyo mtu aliyetahiliwa anajiepusha na maambukizi ya ukimwi kwa 60% kuliko asiyetahiliwa
 
Teh teh teh teh
Burn acha kunichekesha sasa kitu kikiwa na 95% kinakuwaje cha ajabu.
Nilikuwa namsaidia mwanajamii aliyekuwa anashangaa kuwa kumbe kuna mikoa hawakatwi kumwonyesha kwamba hilo linawezekana maana duniani kuna wanaume wengi ambao hawajakatwa kuliko waliokatwa
 
Hata hivyo mtu aliyetahiliwa anajiepusha na maambukizi ya ukimwi kwa 60% kuliko asiyetahiliwa

Kaitaba,
Kwa mfano aliyetahiriwa akafanya mapenzi bila kondomu na alisiyetahiriwa akafanya na kondomu nani atakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata ukimwi kati ya hao wawili?
 
-itategemea kama asiyetahiriwa alifuata matumizi sahihi ya kondom

-itategemea pia aliyetahiriwa kama alipata michubuko iliyopelekea kugusana kwa fluids9hasa hasa damu) na mwenziwake

-itategemea pia kama aliyetahiriwa alifanya ngono na muathirika

ALL IN ALL!HAKUNA RULES ZA MOJA KWA MOJA KWENYE HABARI YA MAAMBUKIZI
 
Swali langu lilikuwa ni kuhusu yamkini (probability) ya hao wawili kupata ukimwi ukiassume hayo yote uliyoyataja
 
Nimeishi Iringa 10 yrs, hii ni kweli kabisa wengi wa wanaume kule hawajatahiriwa, tulikuwa na timu yetu ya mpira pale town, sasa ikifika wakati wa kuvaa jezi utaona wale wenye mikono ya sweta wanajificha kwa sana tuu na wengine tuliwapeleka hospital kwa lazima, hii ni kweli kabisa
 
swali langu lilikuwa ni kuhusu yamkini (probability) ya hao wawili kupata ukimwi ukiassume hayo yote uliyoyataja
kwa hiyo unataka kujua matokeo iwapo hawa wawili watafanya zinaa na muathirika wa ukimwi?
 
sasa naanza kupata mwanga aksante Mkodoleaji ile link ulinipa kwa ufafanuzi zaidi nimesoma vitu vingi na ile ambayo kuna debate kuhusu human right (child) na infant circumcision kuwa kumtahiri mtoto mdogo (wa kiume) ni kukosea sasa sijui wanataka kina kaka wakatwe wakiwa na umri gani mwishowe watasema hata kukata ni kinyume na haki za binadamu kwa vile kinahusisha maumivu au kuumiza mwili duh---- na sisi tutadai ni kinyume cha haki za binadamu kwa mwanamke muongeza ujazo wa dunia ---aeh si kuna maumivu pia?
 
Back
Top Bottom