Sorry my sweetheart

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Dah wana Jf honey wangu yeye ni mmoja wa wahanga wa mafuriko na amemaliza tu chuo mwaka huu pale UDSM,analia kuwa vyeti vyake vyote(chuo+A-level+0-level+primary) vmesombwa na maji hvyo anabidi tena arudie darasa la kwanza yoo
 
Ukuti ukuti, amnada amnada, unga upepo amdensia unga upepo amdensia.
Sikuku oyeeeee! Pole mwaya mwambie apige memkwa, akimaliza apige meskwa halafu aende mechukwa atajikuta anagraduate tena kwa mda mfupi sana.
WA KUSOMA utupe mbinu hapa?
 
muda si mrefu nilikuwa nawaza hii kitu. Mfano mafuriko yangenitokea ninapoishi ningeokoa laptop, flash na vyeti vyangu. Sirias, vyeti muhimu sana kuliko flat screen
 
kwani huko bongo huwezi kutuma maombi wakutumie upya vyeti vingine?
 
ukuti ukuti, amnada amnada, unga upepo amdensia unga upepo amdensia.
Sikuku oyeeeee! Pole mwaya mwambie apige memkwa, akimaliza apige meskwa halafu aende mechukwa atajikuta anagraduate tena kwa mda mfupi sana.
Wa kusoma utupe mbinu hapa?
ndio namalizia kufa kwa kicheko!
Mwee,jf kutammmmmm kuliko vitumbua!!!
 
Back
Top Bottom