Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Lengo la Makufuli ni kuondoa wakongwe wote maarufu(al-watan) na kuweka vibaraka wake pekee.

Kinana siku na enzi zako zimefika tamati inaingia enzi ya kina Polepole na wengine wa Kimisungwi/Kolomije type.

Wako wapi makatibu wa mikoa na wilaya wa zamani?

Kinachofuata ni wengi kama sio wote Wenyeviti wa zamani na wa Nec kung'olewa.

Na huku ndio kujenga udikteta hadi kwenye chama
 
Tangu linivulisikia kauli ya Mh. Majaliwa kumuunga mkono Lowasa??? Ulisikia akilalamika kuwa hakuridhika na maamuzi yaliyochukuliwa kumuengua Lowasa???

Hio video unamuona Mh. Majaliwavakiimba au amesimama kama ada iwapo Mwenyekiti anakuwa anaingia ukumbini??? Chadema acheni propaganda za kitoto....




Hongera kwa ujasiri wako,unapoelekea unaweza kuikana hadi jinsia(jinsi)yako,yani video inaonesha dhahiri akipiga makofi kukubaliana na wimbo wa "imani kwa Lowassa wewe unabisha?Wewe kiboko.
 
1d6bb09df98228f1e8166e9fcc51ab57.jpg




Nimeiona kwny JF twitter


Walio Fukuzwa Uanachama wa CCM Kuanzia leo
1. Sophia Simba
2. Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga Jumlisha Wanec na Wenyeviti wakutosha. CCM MPYA INAKUJA
 
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
KAULI ZA KIJINGA.MACHALI KUJA KWENU NA WENGI SIWATAJI MAJINA NI UCHAFU ?MTU ANA UHURU KUCHAGUA ATAKAPO.AFANDE SELE NAYE UTASEMAJE.?KAMA HUNA CHA KUSEMA BORA UKAKAA KIMIYA.
 
Akija CHADEMA huyo mama SIMBA ghafla anakuwa mtakatifu, chadema wanamfutia tuhuma zote anazituhumiwa, kama mwenzake LOWASA na MAHANGA, manake huko nyuma CHADEMA mlikuwa mnahoji uhalali na upatikanaji wa PhD ya Dr mahanga, ila leo hii mahanga wamemfutia tuhuma (CHADEMA wana mamlaka kama ya mahakama), Lowasa miaka nane ya matusi, kutukanwa na kejeli kutoka CHADEMA na gazeti lao la MWANAHALISI leo hii anaonekana DHAHABU ngojea tusubirie kwa huyu mama SIMBA sijui itakuwaje.
Mmoja akiokoka ni furaha...lazima avikwe vazi jipya na kuchinjiwa mwanakondoo aliyenona
 
Back
Top Bottom