Sophia Simba anaogopa mahakama??

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti kuwa itampiga sero kama akishindwa kusasambua umbea wake kuwa cdm inapewa dogodogo toka majuu... Yeye anaulizia hivi sasa kama sheria ipo ya propaganda za kisiasa zisifunguliwe kesi...
Mama huyu mwenye masters ya ¨sheria¨ anabahatisha mambo ama kwa bahati mbaya au ucheki bobu wake umezidi... Sasa Lissu na Mabere wanataka akanyee debe..Bahati mbaya saaana maana aliongea kwa bahati mbaya sana halafu anasema hakusema hivyo kama CDM walivyotafsiri bali alishangaa tuu na kudai labda hawa wanafadhiliwa lakini hakusema ubalozi wowote unawafadhili..

Masikini Sophia mdomo umekuponza maana jamaa wanataka ukalale sero hata dakika kumi tuu uje utuhadithie shemeji zako wa bagamoyo!!

Nawasilisha
 
Mbona sijaelewa unamaanisha kitu gani?
Hata darasani kuna wasioelewa pia... ndo maana wengine watafaulu wengine mtabaki kuwa magolikipa baadae... Bahati mbaya sana ndugu yangu huwezi kunielewa japo nimeandika kwa kiswahili....
Nenda Loliondo ukapate kikombe kimoja kwa jero akili irudi... Halafu acha na pombe pia inafupisha akili utakuwa kama CCM
 
Mkuu eliesikia, hapa nadhani umekosea njia!! habari yako imenichekesha lakini inafaa ikae jukwaa tofauti na hapa.

Nikirudi kwenye maada husika, ndo viongozi wetu hao!! wanamwaga upupu harafu mkikaa kimyaa inakula kwenu. hapo CDM wangekaa kimyaa ingekula kwao, kwani wananchi wangeaminishwa upupu na huyo mama. Lakini CDM nao wako smart zaidi kipindi hiki. Big up CDM, otherwise hawa watawala mkizubaa they will let you go down for good.
 
Habari za vijiweni hazina tija jf. Weka topic ambayo ina source au utuambie kwamba ni tetesi otherwise siwezi kuchangia "umbea".
 
habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti kuwa itampiga sero kama akishindwa kusasambua umbea wake kuwa cdm inapewa dogodogo toka majuu... Yeye anaulizia hivi sasa kama sheria ipo ya propaganda za kisiasa zisifunguliwe kesi...
Mama huyu mwenye masters ya ¨sheria¨ anabahatisha mambo ama kwa bahati mbaya au ucheki bobu wake umezidi... Sasa Lissu na Mabere wanataka akanyee debe..Bahati mbaya saaana maana aliongea kwa bahati mbaya sana halafu anasema hakusema hivyo kama CDM walivyotafsiri bali alishangaa tuu na kudai labda hawa wanafadhiliwa lakini hakusema ubalozi wowote unawafadhili..

Masikini Sophia mdomo umekuponza maana jamaa wanataka ukalale sero hata dakika kumi tuu uje utuhadithie shemeji zako wa bagamoyo!!

Nawasilisha

Uongo mwingine Bwana wa Chadema hauna hata kichwa wala miguu. Hakika ni chama cha majungu na uongo.

Kwa taarifa yako Sifia Simba ni mwanasheria tena aliyebobea mwenye shahada ya Uzamili.

Sasa atababaika nini na makakama.

Mnyika.

Sofi anakusubiri mahakamani vipi au chadema mmeghairi na mlitaka tu sifa kwa wandishi wa habari?

nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.

Acheni unafiki Chadema kuweni watu wa vitendo na sio maneno.
 
Wewe. Huyo mama hiyo Masters ya sheria alisoma wapi ali practice wapi? Unadhani kusoma sheria tu inatosha?
 
hivi huyu mama kweli ana masters ya sheria? Au ndio ameipata kutoka vyuo kama global college au zoom vya huko ulaya magharibi......
 
Uongo mwingine Bwana wa Chadema hauna hata kichwa wala miguu. Hakika ni chama cha majungu na uongo.

Kwa taarifa yako Sifia Simba ni mwanasheria tena aliyebobea mwenye shahada ya Uzamili.

Sasa atababaika nini na makakama.

Mnyika.

Sofi anakusubiri mahakamani vipi au chadema mmeghairi na mlitaka tu sifa kwa wandishi wa habari?

nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.

Acheni unafiki Chadema kuweni watu wa vitendo na sio maneno.

Kumbe ni msomi kiasi hicho! mbona anaongea upupu kama mtu ambaye hajaenda shule? Tafadhali usimsingizie mama wa watu. Kwa jinsi anavyotoa matamshi yanayomdhalilisha sikutegemea kama mama amesoma kiasi hicho. Alipowaambia wanawake kuwa wawanyime unyumba waume zao watakaoshabikia upinzani niliishiwa nguvu
 
Hana Masters ya sheria ila degree ya kwanza ya ukubwani ya sheria LLB, ila ama masters ya community development, hajawahi ku practice. angekua na masters ya sheria asinge behave ki namna hii anatia aibua kabisa na mimi nataka sana kujua wanasheria watafika nae wapi, ni vizuri ku set examples kupunguza kelele za walamba ukoko wa siasa kama hawa,
 
Uongo mwingine Bwana wa Chadema hauna hata kichwa wala miguu. Hakika ni chama cha majungu na uongo.

Kwa taarifa yako Sifia Simba ni mwanasheria tena aliyebobea mwenye shahada ya Uzamili.

Sasa atababaika nini na makakama
.

Mnyika.

Sofi anakusubiri mahakamani vipi au chadema mmeghairi na mlitaka tu sifa kwa wandishi wa habari?

nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.

Acheni unafiki Chadema kuweni watu wa vitendo na sio maneno.

red colored and bolded=ni suala la kisheria yaani contents za mashtaka si nani anashtakiwa! unafikiri wanasheria hawashindwi kesi au wasio wanasheria hawashindi kesi!! Pro-Sofia mtatafuta pa kumnusuru huyu mama!!
 
sofia ni jamvi la vigogo, alikuwa tarishi na baadaye kujiendeleza kwa kupata degree ya chupi ukubwani! hajui mahakama ina fananaje wala hawezi kuandaa mkataba hata wa kuuza panzi!

amshukuru sana KK, ndo alomuweka mgongoni na kumfikisha hapo!

wewe unayesema ana shahada ya uzamili huenda ikawa ni pupet wa huyo mama.
 
Jamani mbona mnasema vibaya mama yangu? alikuwa amekunywa supu anayokunywa Makmba, Chiligati na Wassira hakujua kama aliongea hivyo na wala hakusema kuwa Chadema inapewa misaada kutoka Magharibi bali alikuwa anasema Chadema inataka kufunga milango kwa Mafisadi ili wasiiifaidi nchi amefanya kosa gani huyo mama
 
sofia ni mama mwendawazimu, mi nadhani hata watoto wake wanafadhaika sana kuzaliwa na mama MC kama yeye.
 
Back
Top Bottom