Sony viao laptop inauzwa

aghassany

Member
Oct 9, 2011
57
1
SONY VIAO
4GB RAM
320 GB HARD DISK
DUe core 2
DVD RW
WEBCAM
na kadhalika...

600,000/=
 

Attachments

  • 21112011366.jpg
    21112011366.jpg
    191 KB · Views: 66
  • 21112011367.jpg
    21112011367.jpg
    263.8 KB · Views: 63
  • 21112011368.jpg
    21112011368.jpg
    252.8 KB · Views: 53
SONY VIAO
4GB RAM
320 GB HARD DISK
DUe core 2
DVD RW
WEBCAM
na kadhalika...

600,000/=
mkubwa niko interested na hiyo kitu ila shida yangu naomba niandikie model number ya hiyo mashine..... nataka nicheki review yake before hatujaanza negotiation! am waiting
 
Mi natafuta laptop lakini inayokaa chaji 1 hr,hii hainifai kwa shughuli zangu za kijijini sitimbi,ila ni bora umekuwa mkweli
 
hii mashine kama bado hujauza nikutafute hata saiz mkuu nime ku pm namba yangu
 
kaka kuwa makini wakati wa kuuziana. Nakumbuka story ya mwenzetu aliyeibiwa, so sad, plse take care

Asante sana kaka kwa kunipa heads up. Mtu yoyote tukikubaliana anahitaji mzigo itabidi aje ofisini kwangu kulipia na kuuchukuwa sitomfata mtu yoyote kokote ( sio kiburi ila najaribu kuwa makini )...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom