Soma Ruling ya EACJ (DP Uganda case) inayofanana na ya CDM.

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE
APPLICATION NO. 6 OF 2011

1. THE DEMOCRATIC PARTY​
2. MUKASA FRED MBIDDE ]…………….APPLICANTS​
VERSUS
1. THE SECRETARY GENERAL OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY
and
2. THE ATTORNEY GENERAL OF UGANDA​
]……….RESPONDENTS

The gravamen of the complaint of the Applicants, if we may put it in a nutshell, is that the Government of Uganda and its Parliament have not to-date amended the Rules of Procedures of Parliament, 2006 ( hereinafter referred to for brevity as the "Rules"), in order to conform to the provisions of Article 50 of the Treaty which provides for election of members of the EALA.
DETERMINATION OF THE APPLICATION BY THE COURT

We have carefully gone over the materials placed before us in this application and after considering the oral submissions of both
9 sides and the law on the subject, our findings and conclusions are as follows:


We are of the considered view, based on the totality of the available affidavit evidence on record, that if the application is denied and the elections of Uganda's Representatives to the EALA take place under the impugned Rules and if the Reference is eventually determined in favour of the applicants, not only the Applicants but also the EALA and the East African Community itself, stand to suffer irreparable injury. .......

We, therefore, find and hold that the second criterion for the grant of an interim injunction has also been satisfied.

Ukisoma hii kesi inafanana kwa kila kitu na watakayofungua Chadema kesho.
 

Attachments

  • Democratic-Party-Vs-Secretary-General.pdf
    206.4 KB · Views: 138
Hapa naona kuna matatizo ya technicalities. Mimi si mwana sheria, lakini nilitaka kuuliza tu ili nifahamishwe/eleweshwe.

Je, watafanikiwa kupewa hiyo Court Injunction kabla ya kufanyika huo uchaguzi hapo kesho? Uchaguzi unafanyika kesho saa ngapi?

Unajua CCM ni wahuni sana, Spika anaweza kuwa ametoa maamuzi late ili kusiwe na mwanya wa CHADEMA kupeleka shauri mahakamani la kuzuwia uchaguzi.

Nimepitia magazeti ya Jumatatu, yalikuwa na conflicting information. HabariLeo wao walisema Ndugai amegoma, kwamba uchaguzi uko pale pale. Magazeti mengine yakasema Ndugai amenywea kwa hiyo swala hilo litapelekwa kwenye Kamati ya Uongozi ya Bunge. Hii yote ilikuwa ni ku-buy time na wanakuja kutoa maamuzi leo jioni wakati uchaguzi ni kesho.

What if uchaguzi ukifanyika, je, Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ina uwezo wa kutengua matokeo ya uchaguzi? Maana lazima tuwe na options, just in case moja ikigoma. Japo hii ya Court Injunction ni easy kwa kuwa mtu hawezi kusema gharama za uchaguzi kwa kuwa uchaguzi haujafanyika bado.
 
What if uchaguzi ukifanyika, je, Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ina uwezo wa kutengua matokeo ya uchaguzi?



ndio. iliwahi kutokea bunge lilikosa wabunge wa nchi moja mpaka walipochaguliwa wengine baada ya ule wa awali kuwa 'null & void'
 
Hata wakiendelea na uchaguzi ,mahakama ikisema haukufuata kanuni za chrter ,matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa batili na waliochaguliwa hawatakuwa wabunge halali wa E.A.parliament na hawataruhusiwa kuhudhulia vikao!!
 
Aksante sana kwa kuweka jamvini reference muhimu. Tunaomba Makinda na Ndugai waisome halafu kesho waamue kama waendelee na uchaguzi au wapotezee muda watanzania na kuwanyima fursa ya kuwakilishwa kisawasawa.
 
What if uchaguzi ukifanyika, je, Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ina uwezo wa kutengua matokeo ya uchaguzi?



ndio. iliwahi kutokea bunge lilikosa wabunge wa nchi moja mpaka walipochaguliwa wengine baada ya ule wa awali kuwa 'null & void'

Ndiyo imewahi tokea. mahakama ya Afrika Mashariki ilitengua uchaguzi wa bunge 9 waliokuwa wanaiwakilisha Kenya kwenye Bunge la Afrika Mashariki. Uamuzi huo ilitolewa na mahakama hiyo Tarehe 31 Machi 2007. jopo la majaji waliohudika kutengua uchaguzi a wabunge hao alikuwemo Jaji Augustino Ramadhan, Jaji Harold Nsekela wote toka Tz, na Jaji Kasanga Mulwa (Kenya) na Jaji Joseph Mulenga (Uganda)

kwa hiyo opyion ya injunction iki-fail bado ya pili inawezekana. Kwa kweli gatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa hila za namna hii. ni muhimu na lazima kupinga utaratibu huu kwa kila namna
 
Mzee wa NYC Le Mutuz Big Show Baharia hawezi kuisoma hii news maana ni chungu kwake kusikia kuwa CDM wanakomaa hadi kieleweke wakati yeye ameishawahonga wabunge wa ccm
 
Tukubali tu kuwa kazi inayofanwa na CDM,ni kubwa sana mpaka 2015,tutakuwa na reforms nyingi sana zenye manufaa kwa umma.nakubaliana na MMM kuwa bila internet tungekuwa mazuzu wa taarifa
 
Hivi hawa watawala huwa wanasoma kweli hizi treaty wanazoingia?
Maana hata mtoto mdogo anajua 'treaty' anazoingia na watoto wenzie na kuzifata, vipi hawa watawala?
Na katika kupuuza kwao, ndo maana wameuza nchi halafu mwishoni wanashituka kuwa wameshauza.
 
mi naanza kuogopa uweledi wa wanaCDM ktk kuzijua haki zao,yani wanakusudia mambo makubwa ambayo kwa macho ya ki wasira wasira huwezi kuona uwezekano ila baadae yanawezekana,walianza na katiba mpya,kombani akasema wanaota sasa iko njiani,wakaenda arumeru nape akanena hata aende slaa atapata ubunge sasa wanampongeza nasari kwa lazma,wakarudisha mswada wa katiba bungeni wakat anakilango alishasema hata cdm wakitoka nje utapitishwa,sasa wanakuja na ubunge ktk mashariki ya Africa,subiri tuone grafu yao kama it
 
Hii nimeipenda, kuelekea ukombozi wa kweli wa mtanzania, ni lazima haki isimamiwe kisawasawa kwa njia yoyote ile iliopo. CCM wamezoea kubaka haki kila mahali kwa faida ya wachache.
Viva CDM. Ni lazima muonyeshe njia, na pia kwamba mnaweza.
 
Back
Top Bottom