eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 139
Mungu awakumbuke na kuwasaidia ndugu wote wanaoguswa na janga hili.
<br />Sina kumbukumbu vizuri lakini hili litakuwa ni tukio la pili bila shaka.
hapo kweye rangi nyekundumbona kuna mioto ya kuunguza masoko sana huko mbeya?
Source ya habari je??
Du poleni sana wana~Mbeya... ila nako kumezidi Mwanjelwa 2006,Soko la Uhindini 2010,Soko la Sido 2011... Jamani...
Umekosea mzeee, ni mara ya tatu "kama sikosei" Lilianza kuungua soko la Mwanjerwa (ambalo sasa linajengwa upya), likafuata la uhindini (Ssasa limefungwa) , leo la SIDO!Sina kumbukumbu vizuri lakini hili litakuwa ni tukio la pili bila shaka.
Mara ya tatu, ilianza ya Mwanjelwa iliyoondoka na Akukweti, ikafuatia ya Uhindini 2010 na sasa hii ya Sido MwanjelwaSina kumbukumbu vizuri lakini hili litakuwa ni tukio la pili bila shaka.