Soko la Big Brother

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
190
65
Soko la Mahakama ya ndizi lililopo Manzese jijini Dar es Salaam hivi sasa linavunjwa. Risasi na mabomu zinarindima, vile vile kuna Gongo la Mboto (Mabomu) yanatumika kwa sasa, na barabara ya Morogoro imefungwa kwa sasa. Hizi zimeibuka hivi punde tu
 
Duh sasa hao wafanya biashara wataenda wapi jamaaaani kama sio kuongeza vibaka zaidi???? Serikali bwana ..............
 
Nimepita hapo ss hv watu ni wengi sana kuna askari kibao wafanya biashara wamenafanya vikao vya pembeni kujadili nn cha kufanya kwani kuna ambao walikuwa hata hawakufanikiwa kutoa bidhaa zao hali ni tete wana JF!
 
Askari wetu wanadhani kulipua mabomu kila siku ili kutisha raia ndiyo suluhisho?
Hawajui kuwa Binadamu tuna hulka ya kujenga mazoea na mambo yanayojitokeza mara kwa mara?
Wakati ukifika, tukayazoea hayo mabomu watafanyaje sasa?

Inabidi watafute njia mbadala ya kudhibiti hasira ya umma, kuliko kupambana nayo. Njia sahihi ya kudhibiti hizo hasira ni kwa kuutendea haki Umma, vinginevyo njia wanazotumia ni za muda tu, na badala ya kudhibiti, zinachochea. The worst is yet to come kwa mtindo huu.........
 
wanavunja ili kupesha ujenzi wanini jama kwa wanaofahamu watujuze jamani!!
 
Back
Top Bottom