Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,998
- 13,692
Wana Jf kuna majengo meng hapa dsm yameandikwa sofia house, nani mmiliki wa majengo hayo.! Mwenye taarifa aiweke hapa.
Yanamilikiwa na Sofia..lol
sawa mkuu, lakini ni nani huyu sofia. Sofia mbona wapo wengi. Ungesema huyu ni fulani anafanya 1,2,3 nk
Wana Jf kuna majengo meng hapa dsm yameandikwa sofia house, nani mmiliki wa majengo hayo.! Mwenye taarifa aiweke hapa.
Yanamilikiwa na Sofia..lol
yeah, ni kweli mkuu yanamilikiwa na Sofia....................................Yanamilikiwa na Sofia..lol
Bandungu, cjaona mchangiaji hata m1 mwenye maelezo ya kutosheleza. Kidogo IGWE kajitahidi. Kuna m2 kasema ni madanguru, kuna sofia house hapo chang'ombe, cyo iliyo opposite na veta. Ipo kwenye magodown na viwanda, huko napo wanafanya danguro? Mbona mnakuwa kama c magreter thinker? Kama hujui jambo we potezea tu, c lazima kuchangia.
maelezo yangu ni valid,inaelekea na wewe hujui kitu
nikweli cjui ki2, ndo sababu nikaileta hapa jamvini! Unataka kuniambia michango waliochangia kim ritz hapo juu,ndo sahihi?
sofia,anampikiaga mme wake chakula,.analala naye kitanda kimoja,anafanya usafi ndani....niendelee
Labda Sofia Lion!
sawa mkuu, lakini ni nani huyu sofia. Sofia mbona wapo wengi. Ungesema huyu ni fulani anafanya 1,2,3 nk