Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Mnara huo .wakristo wakweli ndio mnawasikia hao.
http://www.youtube.com/watch?v=vDHK0VNVnYw&feature=related
Hii ineonesha jinsi gani watoto weusi waliokuwemo ndani ya chuchu walivyopigwa moto wakiwa wanasoma Bible .anyway ukipenda chongo unita makengeza ,endleni hivyo hivyo
http://www.youtube.com/watch?v=HHvD_lyYzT0&feature=related
I do believe that I am free to tell what I know, I can not by anyhow controvert what you have presented here.
The question is why the killed kids who were reading bibles?? who posted this information in youtube.
What are they gaining by doing this??
Nimemweleza Tumain hapo juu, kuwa haujui ukristo na wakristo!!!
Tangu lini wakatoliki wakawa ni wakristo?????????????????????????????
I am here in Canada, I have talked to many Catholic they are clearly saying they are not Christian.
Wakatoliki wameua sana wakristo walipokuwa wanahubiri habari njema ya Yesu, ili kufuta habari za Yesu waliwaua sana watakatifu( that period is called Dark ages) interestingly all these were predicted in the bible!
walainzisha dini yao inayofanana na Ukristo! biblia yao iko tofauti with lots of editing,ubatizo wakaleta mpya( wa maji kidogo).
Mpaka mimi nakua biblia zilikuwa haziruhusiwi kusomwa ndani ya kanisa la katoliki na muumini wa kwaida! why? by doing so they were worrying the guy will know the truth.Hii ndio imewafanya wawe na biblia yao!
So in christioan we know who is real christian and who is not, nyie mlio nje mnajua wote lao moja! katika biblia kila unabii wa mpinga kristo unaangukia kwa Papa!
Nakueleza hili ili ujue deep inside uislamu na ukatoliki hauna tofauti kubwa n ndio huwa mnajadili muungane, sijuia ili unajua mtanzania mwenzangu!
Kumbuka pia catholic ni serikali haswa, they will do anything to rule!
Catholic and Muslim they have many many similarities. I have vast of documents to ptove this, but take this as an assignment.Ndio maana nimecheka kuona unaowasema hapa ni wakatoliki ukisema ni wakristo wakiua wakristo wanaosoma biblia, haukufikiria kwa nini?
Niko tayari kupigwa mawe