So sad jamani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Ndani ya meli,wa2 makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,
Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele" Mmasai akatupa shanga akasema hizi zipo kibao kwetu.mhindi akatupa box la tambuu,
Mchaga anahaha hajui atupe nn kila kitu chake anakionea uchungu ,ghafla alimtumbukiza Mmasai akasema



"Yesu na maria hawa wapo tere ARUSHA".
 
Kafo massawe;kafo ndaro kafo mosha kafo moshi;kafo siriwi kafo lyimo na wose ngiamba
ulakucha
 
KAFO SAUSAGE
531187_508179952542411_993158051_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom