So sad Angeline Jolie

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
msanii aliyejishindia tuzo kibao ,alitamba na muv kibao kama vile salt,ameondolewa matiti yake yote mawili kumuepusha na cancer,julie mwenye watoto sita pia ameondolewa kizazi chake huku mumewe brad pitt akimsifia kwa ujasiri.chanzo bbc.
 
Sichoki kuiangalia Mr&Mrs Smith, Original Sin akiwa na Banderas, Salt nliifagilia japo siyo saaana hapo pekundu nlimsikia Salim Kikeke akisema yamepunguzwa na hayajaondolewa.
I Hope she will be ok
 
Sichoki kuiangalia Mr&Mrs Smith, Original Sin akiwa na Banderas, Salt nliifagilia japo siyo saaana hapo pekundu nlimsikia Salim Kikeke akisema yamepunguzwa na hayajaondolewa.
I Hope he will be ok

Ni she amu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Nasikia sio kwamba wameyakata matiti.Wenzetu wapo tofauti kiteknolojia.Wenyew wanaondoa tu baadhi ya sehemu kwenye hayo matiti.But all in all hatakuwa kama alivyoumbwa
 
Angelina Jolie said that she started with the breast surgery, but she didn't mention if she's going to have her ovaries removed, too. But in these situations, doctors do recommend that women get their ovaries removed. They tell women in their 30s, "If you're done having children, we recommend removing your ovaries. And certainly, you should do it by your 40th birthday. CNN
 
Habari ya kweli inasikitisha sana ,amesema pia mama yake alikufa na Cancer akiwa na miaka 57
 
yule dada ukimuangalia tu kitu cha kwanza kuona ni cosmetics na plastic surgeries,..pole yake magonjwa hayachagui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom