Sms niliyo forwadiwa kimakosa ya valentine day

Status
Not open for further replies.

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,987
2,771
Nimeforwadiwa sms hii toka kwa nisiyemfahamu kuhusu Valentine Day;

Valentina Edgan alizaliwa 14/2 /1932 katika jiji la valensia huko hispania. Kafiri huyu ndiyo alitumia mabilion ya dola kuingamiza misikiti 8000 iliyokuwa ktk bara la ulaya km vile hispania ufaransa ubelgijj na uingereza kafiri huyo baadae kaenda kuwuua waislam huko boznia na kuogea dam zao na ndipo akaamuru siku aliyozaliwa yan 14/2 isherekewe lakin kwa watu kuvaa nguo nyekundu au maua ili kumuunga mkono, ewe muislam simama kidete kupinga udhalimu huu wa kusherehekea valentina day kumbe ni kuunga mkono sherehe ya kubomolewa misikiti 8000 na kuuwawa ndg zetu waislam, hukuo boznia,, ALLAH AKBAR, watumie japo waislam 5,,,u.

Mwisho wa ujumbe. Nimeshangaa ujumbe huu nikaona mhhh kweli tuna safari ndefu ya kudanganyana.
 
Mtadanganywa na kila kitu.....hahahaha
Kwanini kujishukushuku kukiichaa
Na hapo ni mjinga mmoja tu kaamua kutunga uongo wake..ma wasio na akili ambao hawataki ht kutafuta ukweli watamuunga mkono..kisa tu ni mkatoliki na ni mkristo
Poleni
 
Haya majamaa huwa yanadanganywa sana ndo mana yanakaririshwa kwa kiarabu ili yavae mabomu.

mhh,hapa kuna tatizo kubwa la upotoshaji wa historia,ninavyojua ni kuwa ili kuufikisha uislamu kutoka bara arabu hadi ulaya palitokea umwagaji damu mkubwa sana,wakristo walikuwa persecuted kwa kosa tu la kutoukubali uislamu,sasa mtoa mada angerudia historia yake aone nani mhanga wa kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom