Smartphones quick sale!!!

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Androids Smartphones zinauzwa, zimetumika kidogo.
1.HTC Wildfire s bei Tzshs. 200.000.
2. HTC Wildfire bei ni Tzshs. 180.000
3. Orange San Fransisco bei Tzshs. 180.000.
Simu zote ziko katika hali nzuri sana. Nipo Dar maeneo ya mtaa wa Jamhuri, karibu na Bilicanas. tuma sms ama nipigie kwenye namba 0659806664.
Thanks.
 
Mkuu asante kwa kuingiza bidhaa Sokoni, ushauri wangu weka pics za hizo phonez ili wateja tupandwe na mzuka au tukuchape za uso.
 
Androids Smartphones zinauzwa, zimetumika kidogo.
1.HTC Wildfire s bei Tzshs. 200.000.
2. HTC Wildfire bei ni Tzshs. 180.000
3. Orange San Fransisco bei Tzshs. 180.000.
Simu zote ziko katika hali nzuri sana. Nipo Dar maeneo ya mtaa wa Jamhuri, karibu na Bilicanas. tuma sms ama nipigie kwenye namba 0659806664.
Thanks.
Vipi naweza pata htc sensational au one X, ukipata used ni-PM. Hafu namba yako hii nimeitafuta jana nzima bila mafanikio.
 
HTC one x ukihitaji ni pm ni used lkn ipi katika hali ys upya na boxi. bei 775,000 bidhaa Ipo irings
 
Androids Smartphones zinauzwa, zimetumika kidogo.
1.HTC Wildfire s bei Tzshs. 200.000.
2. HTC Wildfire bei ni Tzshs. 180.000
3. Orange San Fransisco bei Tzshs. 180.000.
Simu zote ziko katika hali nzuri sana. Nipo Dar maeneo ya mtaa wa Jamhuri, karibu na Bilicanas. tuma sms ama nipigie kwenye namba 0659806664.
Thanks.

wildfire 150k vipi?
 
Back
Top Bottom