SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Jibebe Inc

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
903
164
SmartDuka Home.PNG

Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.

Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.

Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 180,000 Kwa Mwaka Mzima.

NOTE: Gharama ya Ofa ya Tsh 72,000/= imekwisha muda wake kwa sasa haipatikani.

PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0621454246

NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale

SmartDuka Product Page.PNG

POS.PNG
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya Tsh TSh 72,000 Kwa Mwaka Mzima.
PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0711414246 / 0621454246
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya Tsh TSh 72,000 Kwa Mwaka Mzima.
PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0711414246 / 0621454246
 
SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu​

Mauzo ya bidhaa.​

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa SmartDuka Pro"

SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
 
Mfano

Pata Mfumo Wa Kijanja​

utakaokusaidia kufahamu stock yako,mauzo na matumizi yaliyofanyika. Mfumo unaweza kutumia kwenye simu na kompyuta.
Mfano Niko na duka la rejareja la nafaka na bidhaa za kawiada za nyumban...hii program yAko inafaaje hapo..na unaunganisha vipi na hizo bidhaa kwamba nikiuza Basi unajirekod yenyewe..na nikinunua bidhaa itajuaje na kurekodi yenyewe !? Plus wale wanaokopa itawatambuaje na kuwafutailia kulipa madeni yao!?
 
Habari Akili Tatu, Asante kwa maelezo yako. Mfumo wa SmartDuka Pro unauwezo wa kufanya yote hayo bila kuwa natatizo kabisa unamodule ambazo zitakusaidia kuweza kuongoza hata kama ni Duka la Nafaka au Rejareja pasipo kuwa na tatizo lolote utapewa msaada wakati ukiendelea kutumia mfumo wetu kama utakua unapata tatizo kutoka kwa timu yetu ya msaada usisite kuwasiliana nasi kwa kutupigia simu kwa namba 0621454246. Asante
 
NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
Je, mfumo unaweza kuwa configured kwa shughuli tofauti kwa jina moja la kampuni , mfano garage uwe una track job order cost i.e. gharama kwa kila gari, halafu stock system kama unauza spares, na mapato mengine kama car wash. Unaweza kufunga mahesabu ya mwaka? Mna demo version?
 
Yote hayo utatayapata ndani ya mfumo mmoja pasipo kuwa na tatizo mkuu. Usisite kuwasiliana nasi mahitaji demo version ipo; msaada zaidi wasiliana nasi kwa kutupigia simu / sms kwa namba 0621454246 au WhatsApp; 0711414246
 
Back
Top Bottom