Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibroad Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kibaya katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara jana.
Alisema, akichaguliwa kuwa Rais, Serikali yake itapunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika vifaa vya ujenzi hasa vinavyotengenezwa nchini, kama vile saruji, ili kuwezesha masikini kujenga nyumba bora.
Link hii ni wakati akiwa Mtera juzi
Last edited by a moderator: