Elections 2010 Slaa anaweza kushinda,watz tusikate tamaa mapema

ishuguy

Member
Nov 3, 2007
76
10
Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa....
Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1.
Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM wanazitumia kwamfano ushirikina,mapepo,wakuu wa anga,rushwa,ubabe wa Nguvu za dola n.k zishindwe.
Pamoja na kumhamasisha ndugu,jirana&rafiki inatupasa watz kwa ujumla tushirikiane kumuomba Mungu atuweze kumpata kiongozi bora asiye endesha nchi kwa ushirikina.
kutumia ushirikina ni kinyume cha mapenzi ya Mungu... laana& Hasira ya Mungu iko juu ya washirikina..
Swali la msingi la kujiuliza ni Hivi sasa Maendelea yatapatikana vp chini ya laana ya Mungu?

Tunampa lawama kikwete amezidisha ugumu wa maisha na Umaskini...sisi tumemchagua na yeye amependelea kutumia wakuu wa anga kutuongoza,tukimchagua tena inamaana tumekubali kuendelea kuongozwa na wakuu wa anga...lakini tukumbuke bila ya neema&baraka ya Mungu hamna maendelea.
 
Muhimu sio kushinda....
Muhimu uchaguzi uwe huru na wa haki....
Ashindeau ashindwe kwa kura za haki
 
True that what we need is determination and focus,so we have to spread the word to others.Good on you
 
Back
Top Bottom