Elections 2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)

Yah Mkuu i wonder jinsi wakwere wengi humu, maana rais wangu na wako Dr Slaa tunajua mahesabu, hata mm sitaki kuongozwa na mkwere he doesn't even know addition? addition...? kweli huyu mkwere kakwereka ndio maana wanaiba kama shuleni wasiojua somo kazi yao ni kuiba mitihani, au kuibia wale wanaojua somo, so mkwere katuibia kura kwa sbb hata simple maths hajui, addition, subtraction..? hii ni magazijuto so simple, je logarithms, calculus & analysis, logic, Probability & Combinations, algebra, geometry & topology, etc yaani sitaki kulipa kodi yangu kwa mtu asiye jua kutoa na kujumlisha, period, ndio maana anahidi vitu asiye jua, upupu, hewa promises, he is out of touch, nasema si Rais wangu, ni haki yetu kusema hili, hadi kieleweke

Acha kutukana kabila zima kwa sababu ya chuki ya mtu mmoja ambaye ni rais wako.
 
ur exactly right, hizi hesabu ndogo za ratios ( sehemu) nashangaa wengi hawaelewi, ohh my Godness, ratios in percentage very simple maths watu chali, doooh i know ndio maana tumeibiwa kura watu hawajui,
labda niweke hivi iwe simple
Dr Slaa 26% + Pumba 8% ( bcoz huyu ni ccm b) = 34% ,,,,,, sasa 26% ya wapiga kura ndio walipiga after uchakachuaji, hii inamaana 74% ya wale Mil 20 hawakupiga kura, but ondoa 10% ambao labda hawajapiga kura kwsbb mbalimbali = 64% X wale 20mil =12.8mil hivyo basi kwa mgawo wa DR Slaa & Lipumba kwa watu ambao hawakupiga kura ambao tunaamini CCM wameiba ni
26/34 X 12.8mil = 9.8 Mil kwa Dr Slaa = 48% ya wale Mil 20 au 26/34 x 64% = 48% ya wale 20mil
8/34 X 12.8 mil = 3.0 mil kwa Lipumba = 15 % ya wale Mil 20 au 8/34 x 64% = 15% ya wale 20 Mil

na kumbuka we subtracted 10% kwa kuweka maheasbu sawa, RAIS WANGU DR SLAA sijui kitu, sielewi chochote loud & Clear
kumbe wengi walikimbia hesabu humu ndani, hizi ni hesabu za form one, kwa nini wengi hawaelewi? Hizi hesabu zinaweza kuwa na ukweli kwani wengi wa waliosusia uchaguzi wamechoshwa na utendaji wa JK na wakaona waibiwa kura zao kwa kuwa ndio mchezo wa ccm, wakaamua kutopiga kura, lakini wangepiga wangechagua wapinzani wenye ushindani ambao ni slaa au lipumba, tena hesabu hizi zimempendelea Lipumba kwa kuwa alipata kura nyingi Zanzibar ambapo wengi walijitokeza kupiga kura kuliko bara ambako wengi wamemchagua Dr Wa Ukweli, nadhani angeshinda kwa >50%.
 
Back
Top Bottom