Siyo rahisi kuutenganisha Urais wa Trump na Ubaguzi

hps300

Senior Member
Feb 20, 2016
170
152
Baada ya Trump kuwa Rais mteule wa USA, Mkurugenzi wa polisi wa Clay County Pamela Ramsey Taylor ameandika haya:
“It will be so refreshing to have a classy, beautiful, dignified First Lady back in the White House.”
She added: “I’m tired of seeing a Ape in heels.

( Tafsiri yangu " Itakuwa ni faraja kuwa na mke wa Rais mwenye hadhi, mzuri na anayeheshimika Ikulu, nimechoka kumwona nyani akiwa amevaa viatu virefu.

Baada ya Taylor kutuma ujumbe huo Meya wa jimbo la Clay, Beverly Whaling alijibu asante umeifanya siku yangu Pam.
 
Ubaguzi ni matendo yafanywayo na wale wasioamini uwepo wa Mungu muumbaji.... hakuna mwanadamu alitaka aumbwe jinsi alivyo au mahali gani ya dunia na wazazi wa aina gani au wa kabila gani.....sote tumejikuta jinsi tulivyo , kuitana majina mabaya ni Inshara ya kujikweza, huyo aliyeitwa nyani kaishi Ikulu miaka minane na muitaji hawezi kuja kuishi maisha ya aliyeitwa nyani mpaka mwisho wa dunia ni bora kukubaliana na hali zetu hata kama hazitufurahishi.... muungwana ni kitendo...
 
Back
Top Bottom