Sixtus Mapunda apendekezwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa UVCCM

Hakuna maiti iliyo bora kuliko maiti nyingine. Ndani ya CCM wote wamekufa kimaadili. Wanatafuta maiti iliyo bora. Adui namba moja wa ustawi wa Tanzania ni CCM, na yeye anayechukua uongozi ndani ya CCM, ni adui mbaya zaidi kuliko mwanachama wa kawaida katika chama kilicho chukizo mbele ya Watanzania na muumba wetu.

Pole sana Mapunda kwa kupewa nafasi kubwa zaidi katika kusimamia uovu.

Waacheni wafu wazikane wao kwa wao!!!
 
Tulikuwa tunamtaka Antony Mtaka.

Wampe Kingunge si ndo alikuwa kamanda wao miaka michache iliyopita? CCM kila mtu ni kijana. Shigella amezeeka sura kuliko hata umri wake ila bado anaonekana kijana. Mkuu kwani huyo Mtaka si ndo mmempa uDC na mambo ya riadha? Bado ni kijana tu?
 
sixtus mapunda amependekezwa kuchukua nafasi ya martin shigella kama katibu mkuu wa uvccm.
bila shaka hii ni mbinu ya wazi ya emmanuel nchimbi kuingia ikulu. Trust come 2015 lazima akamate karatasi ya kugombea ndani ya ccm mtu tano yupo. Dogo janja
 
ha ha ha ccm bana saizi hata wafanye zuri wananchi wamesha wachoka sana ndo faida ya kuwadhalau wananchi saizi haya ni malipo kwao
 
Wampe Kingunge si ndo alikuwa kamanda wao miaka michache iliyopita? CCM kila mtu ni kijana. Shigella amezeeka sura kuliko hata umri wake ila bado anaonekana kijana. Mkuu kwani huyo Mtaka si ndo mmempa uDC na mambo ya riadha? Bado ni kijana tu?

Weledi na uwezo wa Mtaka ndio unaomfanya apendekezwe kwenye nafasi muhimu.
 
Itikadi pembeni,katika wanasiasa wachache wastaarabu wanaozingatia mhimili wa hoja kwenye siasa ndugu Mtaka ni mmoja wao.Lakini CCM hawataki watu kama hawa na sijui anafanya nini huko

CC: Mchambuzi

hata wewe kuna mahali unasimama km nationalist ila una dosari ya kupenda fitna na kutembea na sumu. Rekebisha hiyo utakuwa kijana mzuri sana
cc
ben sa8
 
Anastahiri kabisa kukalia nafasi hiyo kwani anao uzoefu toka uvccm mkoa wa dar mpka sasa katibu wa ccm mkoa wa mologoro.Hongera comrade sixtus Mapunda
 
Back
Top Bottom