Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

Wakikuwekea bastola kichwani huli!!!! Ila naamini ungekuwa Sudan kusini ungekula huku ukiwa umeshikilia bastola mkinoni kuzuia watu wasikudoee

Hahahahahahahaha shibe ni tatizo... huyo mpeleke hata somalia uone kama hatokula hata kinyesi cha ng'ombe. Hahaha..
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa


Hebu ona ulivyo punguani juu unasema huwezi kula utumbo Wa ng'ombe hata kwa bastola chini unasema ukila huwa unaona kinyesi kabisa sasa kipi ni kipi? huwezi halafu unaweza kweli we mgegedo hizi mada zenu za kipuuzi waanzishieni mashosti zenu huko uwani
 
Back
Top Bottom