Siwezi kula makombo hata kama yamenona

leo ijumaa bana....akili imechoka kutafakari....saa hizi ni kutafuta bia zimepoa wapi......hebu tufafanulie tafadhali.....
 
Hivi makombo na kiporo vinafanana? Manake kiporo cha ubwabwa wa nazi na maharage ya nazi,mweh!
 
anaonja mwaya na bei mpya ilivyopanda ndio kama wamemwaga hela maofisini niko hapa breakpoint hatari tupu bia zinabadilishwa kama maji imebidi na maji madogo waongeze bei 1000/soda 1000/huyu jamaa sijui shafanya yachi club sijui...ama kachakatuliwa wapi hizi bei
 
Unaweza ukakipika mwenyewe lakini kikawa kinaliwa na wapishi wengine wanaotaka kujaribu recipe yako. Bora kiporo kilichozoea wapakuaji tofautii na sasa kimeamua kutulia na mlaji mmoja.
 
Back
Top Bottom