siwez long distance relationship!nifanyaje????

lindz

Member
Apr 29, 2012
38
8
ni kijana ambae nilikutana nae kam miez miwil iliyopita,ni mtanashati,mcha mung,msikivu,mpole,muelewa!in short nampend!ana umri wa miaka 22,na mie nna miaka 21!tatizo ni kwamba,anaondoka kwenda nchi za nje kikaz!!am soo happy kwa sababu anatengenez maisha yake,bt anarud mwez wa 12!na sijawah kuwa katika long distance relationship!!I feel sumthng weird inawez kutokea,mayb cheatin and stuffs like those!i have never make love with him!i feel like ndo he is going forever and he wil never love me when he comes bak
 
love doesnt depends on distance mamaa...kuna watu wanalala kitanda kimoja lakini kuchitiana kila siku...it all depends on your (both of you) commitment in your love...ingawa distance ni moja ya factor muhimu sana in love but if you two knows what you up to then its nothing....
 
Back
Top Bottom