CDM ikianza kukaribisha mafisadi hawa kina Sitta itakuwa inajichimbia kaburi. Muulize Dr Slaa akueleze Sitta alivyofuja fedha ya serikali kujenga ofisi yake Urambo. Tofauti yao huko CCM ni nani kachukua kiasi gani, lakini kimsingi wote ni majambazi ndiyo maana wanavumiliana. Subiri tuwang'oe ndiyo utawafahamu vema.Six six six .....anaangali vizuri upepo wa m4c. Tumkaribishe cdm tumwahidi uspika...tehe tehe te teeeee
sitta yumo kwenye hilo chama mda mrefu,anajua wapi wameiba kura wapi wameshinda kihalali..wamsikilize huyo comrade wao
Katika jambo ambalo CCM wanapaswa kuwa makini sana, ni kukata rufaa. Wao kama chama tawala wanapaswa wawe wa kwanza kuamini utendaji kazi wa mahakama zao. Sasa kama wao watasema hawana imani na mahakama, je sisi wengine tutaziamini hizo mahakama?