Sitta/Mwakyembe mashujaa kwenye hili

UramboTabora

Member
Sep 11, 2008
49
2
Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa saana na viongozi wengine. haya sasa mme yaona kwa msimamo wao mpaka jk anaibuka nakuyakataa malipo hayo bila hao viongozi hao wawili inawezekana mida hii li cheki lingekua limeshatoka, ama amna semaje wezangu wana JF ? hapo chini ni maelezo ya raisi kuhusu sakata hilo JK aunga mkono Dowans isilipwe
 
kama ni mashujaa kama unavyowaita, si wahamie upinzani ili wakafanye upinzani wa kweli? wanacho taka ni cheap popularity period!
 
Nyantella usikurupuke ndugu yangu haimaanishi wao kuwepo ndani ya chama na serikali wanastahili kukubali kila ujinga wa wenzao na haimaanishi kuwa upinzani ndio unakataa kila kitu. Still Mwakyembe and Sitta they deserve kuitwa mashujaa kwa sasa na hapa walipotufungua macho na wanastahili kubaki huko kuwakemea la sivyo nchi inaweza kupelekwa pabaya
 
mi siamini

katika Baraza lote watu wawili tu ndo wazalendo?

Hii Nchi Imepoteza Dira
 
:first: CHADEMA, ndio maana JK juzi hutuba yake ilijaa vijembe na kebehi kwa upinzani, inani kumbusha enzi zile za hadija kopa na wenzake yaani MIPASHO.
 
Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa saana na viongozi wengine. haya sasa mme yaona kwa msimamo wao mpaka jk anaibuka nakuyakataa malipo hayo bila hao viongozi hao wawili inawezekana mida hii li cheki lingekua limeshatoka, ama amna semaje wezangu wana JF ? hapo chini ni maelezo ya raisi kuhusu sakata hilo JK aunga mkono Dowans isilipwe

Hawana lolote, kama kweli ni mashujaa, wasiume na kupuliza; mashujaa ni wananchi waliowachagua kwani ndio wenye msimamo, mfano mwakyembe anafahamu wakti wa kmpeni wtu walimwmbia tunakuchgu kwa sabbu gani.
 
Hawa ni mashujaa wachezaji riserve mashujaa wa ukweli kikosi cha kwanza 11 ndani wanaongozwa na dr slaa na zito kabwe
 
This is intellectual myopism.
No further comment is worth this space!

kwa Mwakyembe sijui ila huyo Mr. 6 wako ana kashfa (zikiwemo za kweli za ukware ofisini), kutoa risit fake za dawa more than 4M ukitaka zaidi tafuta jamaa yako anayefanyakazi bunge! yule jamaa ni mfujaji hatari wa pesa za umma. kajaa upepo kupewa wizara ambayo haina mafungu. ukiona anapiga kelele sababu ni hiyo.. call it anything but that is the fact.
 
Kama kweli Kikwete anapinga malipo ya Dowans, ibadini awaadabishe watu wafuatao kulingana na madarakja yake kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania:

(a) Mwanasheria Mkuu
(b) Waziri wa Nishati
(c) Mjumbe wa CC ya CCM na Mbunge wa Igunga
(d) Mbunge wa Musoma vijijini
(e) Chikawe
 
kwa Mwakyembe sijui ila huyo Mr. 6 wako ana kashfa (zikiwemo za kweli za ukware ofisini), kutoa risit fake za dawa more than 4M ukitaka zaidi tafuta jamaa yako anayefanyakazi bunge! yule jamaa ni mfujaji hatari wa pesa za umma. kajaa upepo kupewa wizara ambayo haina mafungu. ukiona anapiga kelele sababu ni hiyo.. call it anything but that is the fact.

tuache fitina katika mambo ya msingi ya nchi!! Nani waziri aliyethubutu kutamka ukweli hadharani kuwa domani ni matapeli na wasilipwe??? hata Mh. jk aliogopa ingawa anajua ukweli. Pasipo kukomaa kwa no. 6 na mwakye. upepo usingegeuka kwa kasi hivi na hata jk kukiri kutotaka lipa. Achana na BIFU linaloweza kuwepo kwa mtu yeyote, ila kwa hili ni MASHUJAA KWA WATANZANIA, period.
 
Nafikiri mheshimiwa Ngeleja anatakiwa atoe tamko lingine kuhusu malipo ya Dowans. The first one is somehow nullified by the president
 
Nyantella usikurupuke ndugu yangu haimaanishi wao kuwepo ndani ya chama na serikali wanastahili kukubali kila ujinga wa wenzao na haimaanishi kuwa upinzani ndio unakataa kila kitu. Still Mwakyembe and Sitta they deserve kuitwa mashujaa kwa sasa na hapa walipotufungua macho na wanastahili kubaki huko kuwakemea la sivyo nchi inaweza kupelekwa pabaya

nautilia shaka ushujaa wao,.ndio wanastahili pongezi kwa hili lakini kwa upande mwingine wanajaribu kuutetea uamuzi wao kwa sababu kwa namna moja au nyingine wamo katikati ya hii saga,..mbona hawasemi chochote kuhusu EPA,IPTL,DEEP GREEN,TICTS,na ufisadi mwingine mwingi
 
:first: CHADEMA, ndio maana JK juzi hutuba yake ilijaa vijembe na kebehi kwa upinzani, inani kumbusha enzi zile za hadija kopa na wenzake yaani MIPASHO.
Ohh!!! Kiongozi wetu wa nchi anajitahidi kufuata njia za kina KOPA na Mzee YUSUF, na yawezekana amefuzu na kuwazidi hao tunaodhani wamebobea kwenye hizo anga za mipasho
 
upande wa CCM 6&mwakye ni mashujaa wao katika hili,halipingiki. wameonyesha msimamo wao waziwazi.

Tofauti na m/kiti wao anayetaka kuwa vuguvugu, mi sijamwelewa juzi aliongea nini...sentensi nyiingii kila moja ina maana yake tofauti, ukiitafakari kwa vipande utaona mara anapinga mara anaafiki, mh mwishowe haelewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom