Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,186
- 7,123
Wakuu niliwambieni hapa week iliyopita kwamba SITTA HATAPITISHWA NA CC YA CCM. hizo habari sikutabiri zilikua za kweli mana ni kutoka kwa mkuu mmoja wa ndani ya chama chao.
Leo tena nimepata habari nyingine kwamba atapewa u waziri halafu hoja itatolewa bungeni kwamba ajiuzulu mana amekosea atatimliwa na mkwere!
LENGO: Ni Mkwere kujipendekeza kwa wakubwa wake wa kazi (Rostam na Lowassa) ili awaachie nchi mwaka 2015, na waridhike kwa dhati kabisa kwamba sasa Sitta hawezi kufurukuta tena na kisiasa ameisha.