jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
MWK alipoleta hiyo hoja hukulazimishwa wewe au wengine kuchangia.
Jmushi pia na wewe huwa unaleta hoja ambazo hazina maana ambazo zimejaa posts zako mwenyewe.
jee atakayechangia kwenye hoja yako nae tumseme anatetea ccm?
acha ku attack watu bila sababu za msingi.
Sina haja ya kujipendekeza nyie ni wapambe!
Mnabadilka badilika mno!
mnatisha!
Na sijui mnafikiri kuna mtu anafuta sifa hapa!?