Sitta akata tamaa mbio za urais 2015

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone
 
Sawa!Kwa hiyo labda kwa maoni yako nani ambaye hajakata tamaa ya uraisi 2015?Samahani lakini!
 
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone

Utoaji mada wa aina hii ya kwako, una utata. Msomaji anagundua kwamba wewe ni mtu wa kampeni badala ya kuleta arguments. Unaandika hisia zako kana kwamba kakuthibitishia.

Binafsi Sitta si mtu anayefaa kuwa rais. Nina sababu zangu lakini pia wamo akina Membe, Lowasa, Pinda, nk. Ni wengi hawafai kuwa viongozi wa nchi hii. Sasa siyo suala la huyu kakata tamaa au yule hakati tamaa. Ni suala lao wewe utueleze nani anafaa na sababu zako. ndo tutajua udhaifu wa maoni yako
Achana na kapeni JF.
 
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone
Unaonyesha wewe ni fisadi kama sijakosea. Mara kwa mara Mh. Sitta amekuwa akipingana na mafisadi na amekuwa na msimamo thabiti juu ya hilo na huwez Kumbeza wazi wazi ndan ya JF eti hakubaliki! Kumbe bora kumfadhili mbuzi maana utamla mchuz binadamu wana maudhi.
 
Kwani unadhani kwa kipindi hichi hata kama ana mipango ya kugombea uraisi ata tamka wazi wazi?

Sitta anaijua ccm sana hiyo ni strategy yake ya kutaka kupunguza mashambulizi dhidi yake ; ccm wanatabia ya kimafia ambayowanaifuata nayo ni kwamba yule anayetangaza wazi wazi kuwa anautaka urais ajue lazima kwavyo vyote vile watamuangamiza.!! CCM ni chama cha MAJAHILI.
 
babu wanini,badala ya maendeleo watuanzishia mambo ya nyuma.hawa wazee wenye visasi vyao hawatufai tunayaka mtu mpya
 
Anajua hafai, ndo maana anajiengua, kiongozi gani uko ndani ya serikali unaipinga serikali, uko ndani ya chama unaanzisha chama. kigeugeu huyo, kama kweli anapingana kwa dhati na ni mwanasheria si anatakiwa ajiuzulu? au kwake collective responsibilty inamaanisha nini.
 
hili ndiyo tatizo la wanacahadema wanapenda sana kushutumu na kushangaa wakiona watu wa CCM wanajibishana ndani ya chama, kwani CDM hamna demokrasia anayosema Mbowe na baba mkwe wake ni MWISHO hamna cha kujibu wala kuuliza... hii kweli shida
 
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone

Unaweza kututajia hao "washindani" wake??????
 
Hakuna Ufisadi Sita Anaopigania zaidi ya Kusukumwa na Ubinafsi!Anataka awe yeye tu lakini hukuna anachoweza!
Hana sifa ya kufanikisha mambo ya msingi zaidi ya kutaka aonekane anapigana kumbe anajipigania!
Bora akae Kando!
Magufuli ndie wa Kumuwazia kama atapenda Urais!kwani hata sasa hapti nafasi inayostahili zaidi ya vikwazo ktk utekelezaji
 
Sitta hakuwahi kusema atagombea Urais ila wazushi ndiyo walikisia hivyo

hata hivyo hafai kwani Alianzisha chama akiwa mwanachama
anapingana na serikali yake akiwa ni mwiongoni mwa viongozi wa serikali hiyohiyo
hata sisi anaweza kuja kutugeuka baadaye Tumsubiri EL tu if it is necessary tha presedaa to come from Sisyem
 
Mbona hata EL amesema kwenye mkutano wake wa kujisafisha ni mapema mno kusema atagombea au hatogombea,so even sitta ni mapema mno kusema atagombea so stil muda upo from today mpaka 2015 mbali mno,au kaka form za kugombea urais zimeshotoka?
 
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone

Hakuna hata wakati mmoja ambao Sitta amewahi kutangaza nia na juhudi zake za kupambana na majahili wanaohujumu rasilimali ilikuwa na nia ya kusaidia kutokomeza vitendo hivyo. Mafisadi wengi walidhani kwamba hiyo ingekuwa ni janja ya kujaribu kumuondolea sifa Mzee Sitta sasa bahati nzuri amewapasha wazi kwamba juhudi zake hazina nia ya kufika ikulu kama ambavyo wao wangefikiria. Mzee Sitaa endelea hivyo hivyo kuwanyima oxygen kwenye chumba mpaka nchi hii ikombolewe.
 
anazuga tu anataka sana ila anavuta pumzi,6,Lowassa,Slaa. Hatuwataki kwenye kugombania urais. Nalog off
 
Muda ukifika utasiki Nimetumwa na wazee kuchukua fomu mimi binafsi yangu nilikuwa sitaki na nilishasema hivyo KUDADEKI wazee wamesema hamtumi myu tena wanaenda bungeni wenyewe kama kundi maalum. hahahaha mbona kazi ipo 2015
 
Hivi karibuni akizungumza ITV mh.sitta alionglea swala la urais 2015 na kusema hana mpango wa kugombea,kauli hii ya sitta ni kauli ya mtu aliyekata tamaa,kwanza amegundua kuwa ndani ya chama chake hakubaliki,la pili swala la kuasi chama chake na kuanzisha CCJ la tatu wananchi wamemchoka kutokana na kauli zake za uchonganishi,sitta ameona kwenye mbio hizi za urais haziwez amebaki akilalamika kwa kuukosa u speaker,sitta ni mtu wa visasi na kwa kuwa swala la urais limeshampitia pembeni atabaki akichawafua washindaji wake kwenye siasa tusubir tumpe mda tuone
Usimsemee mtu kwani nani mpaka sasa kasema atawania urais mwaka huo.
 
Back
Top Bottom