Sitasahau sikuNILIPO VUNA PESA AIRTEL

Msabaha lk

Member
Apr 21, 2012
84
21
sijui hilo dili kuna aliyestuka maana ilikuwa kama ofa vile kila ulipokuwa ukikamilisha ulipewa sh 500. ilikuwa ni juhudi zako tu kwani hatua nne tu jero ndani ya cm yako. vijana walitengeneza pesa. uzuri zilihamishika ingawa ilikuwa kama airtime lkn kiasi nilifaid nilijiunga na kifurushi cha wiki awali kisha nikaona haifai nikajiunga na cha mwezi kabisa huku mikimtunmia bro buku 15 na mzee buku 10huku wengine kama wanne nikiwapa buku5 na wengine wengi bukubuku. nilibaki na kama elfu saba ambazo nimezitumia baada ya kifurushi kuisha. allooo nimetumia 3G bundle lkn wapi hadi mwisho wa mwezi 1G ilibaki niliporudi kwenye vocha naona hazidumu sasa AIRTEL kwa nini mlitoa hiyo ofa? rudien tena kwani kiasi mwezi mzima nimepiga simu kwa ofa hiyo SITAHAU AIRTEL.
 
Back
Top Bottom