sitafuti

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,710
mchumba ila nashangaa nashinda jukwaa la love conect,kuangalia whats new....au niko kwenye denial nahitaji mwenza eti???

humu kuna wazungu????

LOLS.
 
Unatafuta indirectly kama utawala wa waingereza enzi zile. Halafu habari njema kwako ni kwamba mi ni mzungu.
 
Kumbe kuna hata hii imo, we ni noma. Nasikia mwanamke asipotokewa na msela kama mwezi mzima huwa akili inakosa akili na anaweza ambia hata mti nakupenda.
 
Unatafuta indirectly kama utawala wa waingereza enzi zile. Halafu habari njema kwako ni kwamba mi ni mzungu.

good news,i hope PM yako inafanya kazi na haijajaa?lol,na pia bankstatement yako imenona....vekesheni hapa inahusu...lol
 
Kumbe kuna hata hii imo, we ni noma. Nasikia mwanamke asipotokewa na msela kama mwezi mzima huwa akili inakosa akili na anaweza ambia hata mti nakupenda.

mie ni mmoja wa hao watu aiseee....lol humu nikikosa PM najisikia uchizi fulani lol
 
mimi huwa nanunua viatu wakati sitafuti viatu
wapo watu hununua nguo wakati hawahitaji nguo....

inaitwa temptation.....ndio maana watu wanaambiwa kuwa wasiende 'madukani kufanya window shopping'
kama kweli bajeti zao haziruhusu......sababu unaweza kuwa tempted kununua kitu hata kama hukihitaji

unaweza kuwa na mtu ukaona 'mtu better' na ukatamani kuanzisha mahusiano....
 
mchumba ila nashangaa nashinda jukwaa la love conect,kuangalia whats new....au niko kwenye denial nahitaji mwenza eti???

humu kuna wazungu????

LOLS.

didi yu sei muzungu, ai ken teki yu tu livu wis mi in Yurop, ai kem from ze grit yugoslavia..! Bati ai donti spiki hakuna matata langweji
 
didi yu sei muzungu, ai ken teki yu tu livu wis mi in Yurop, ai kem from ze grit yugoslavia..! Bati ai donti spiki hakuna matata langweji

mnh huko si ndio kulikuwa sijui na vita gani,na mabomu ya ardhini...siji but thanks lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom