sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Huyu mzee kuna vitu anachimba ndani ya chama chake,na wakifanya mchezo atakiparanganyisha hichi chama,hizi kauli zake si za kinafiki tu bali zmepangwa na anajua nini anafanya, kwa kauli ile ya juzi ya kuwahusisha wenzake na mbio za urais 2015 siamini kama alikurupuka,haiingii akilini mtu kama sitta atamke vile bila kuwa na sababu maalum,kuna kitu ana pima na hasa ikifahamika kuwa mpinzani wa sitta ni lowasa na lowasa ndio anatajwa kuwa na nguvu ndani ya chama kwa sasa,siamini kama sitta na group lake watakubali lowasa asimame 2015,hapa lazima tutoboe mashua itote tugawane mbao......tuendelee kusubiri mwisho wa hizi drama za sitta,najua mwisho wake hautakuwa mzuri, bila shaka mwisho ukawa kama suala la richmond....tukumbuke kuna vitu havikusomwa ili kulinusuru taifa....mwakyembe.