Sista duu/blaza men simu ya 1M umepanga nyumba ya una zam ya kudeki choo na unapikia mkaa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
14,069
8,327
Habari za wakati wenu wana MMU!!
Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale wa magari mtu anaspend kudecorate gari pesa kibaao, mara chrome ream, sijui mapafyum na ukiangalia anapoishi ni sehem ya uswaz, anapikia mkaa, choo ni kupeana zamu kudeki.

Ni vyema maisha yetu ya nje yakareflect vile tulivyo, lazima kila kitu kiende mshazari na sio kuonesha show iko siku unatembelewa na jamaa wa ofisini unaeza goma enda nao kwako

Kwa hisani yangu mwenyewe
Washawasha, [MENTION]Bubuji[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Message Sent ndio mambo ya kina yahaya anapaki X5 ccm yeye anaenda kulala gheto la chumba kimoja lol
 
Habari za wakati wenu wana MMU!!
Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale wa magari mtu anaspend kudecorate gari pesa kibaao, mara chrome ream, sijui mapafyum na ukiangalia anapoishi ni sehem ya uswaz, anapikia mkaa, choo ni kupeûana zamu 9kudeki.

Ni vyema maisha yetu ya nje yakareflect vile tulivyo, lazima kila kitu kiende mshazari na sio kuonesha show iko siku unatembelewa na jamaa wa ofisini unaeza goma enda nao kwako

Kwa hisani yangu mwenyewe
Washawasha, [MENTION]Bubuji[/MENTION]
kwenye somo la uchumi kuna kitu kinaitwa 'utilility' sasa hiyo ndo kitu kinachompa utility we roho inakuumia nini?
Kupoteza mamilioni kujenga nyumba ya kuishi ni woga wa maisha, kwa nini usi invest hiyo pesa?
 
Last edited by a moderator:
katoa somo zuri
kijana umetoka chuo unaanza maisha unakuwa na simu za ghali wakati shuka unazotumia ni za mtumba,
jiko la gas huna, unapikia mkaa,
simu ya Million moja ya nini kama life hujaiweka sawa? ya lakin 4 inatosha laki 6 unaifanyia jambo lingine
hata application za hiyo simu tunazotumia ni chache,
why usijifunge ukatafuta kiwanja taratibu ukaanza kujenga kwako?....
Mimi nikianza maisha nlibahatika kupata fedha za kufanyia research tukiwa chuo,nkapanga chumba,nkanunua makochi yale ya kukunja,na godoro na jiko la mafuta ya taa, na katv ka nchi 21
baadae nkanunua kiwanja,nkajenga taratibu kwa miaka 3 mjini
na kijijini nako nkajenga sambamba kidogo dogo nimeshamaliza kote
baadae nkachukua kamkopo nkaagiza kimkweche life goes on
kwa miaka 6 ya mwanzo niliofanya kazi nimeweza kufikia hapo,
sidaiwi tena mkopo zaidi ya ule wa loan board.
sikuwa na tamaa za vitu vya thamani kama simu au maredio makubwa
sasa ndio nafikiria investments za watoto na hizo simu nina kanokia lumia kananitosha.
 
Drama ndo tatzo lazima juma ,ally,mwaisha wajua na mm niko mjini ila niulize nilikujaje hapa mjini ndo hapo sasa,kumbe nilikuja na roli la mkaa yaani kazi ipooooo
 
Habari za wakati wenu wana MMU!!
Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale wa magari mtu anaspend kudecorate gari pesa kibaao, mara chrome ream, sijui mapafyum na ukiangalia anapoishi ni sehem ya uswaz, anapikia mkaa, choo ni kupeana zamu kudeki.

Ni vyema maisha yetu ya nje yakareflect vile tulivyo, lazima kila kitu kiende mshazari na sio kuonesha show iko siku unatembelewa na jamaa wa ofisini unaeza goma enda nao kwako

Kwa hisani yangu mwenyewe
Washawasha, [MENTION]Bubuji[/MENTION]

nimeshangaa kama ni washawasha mbona kasahau
nalog off
 
Last edited by a moderator:
Lokissa,
umeruka darasa la maisha.......
yaani muda wa kuonja wanawake wa kila aina wewe ulikuwa unajenga?
katoa somo zuri
kijana umetoka chuo unaanza maisha unakuwa na simu za ghali wakati shuka unazotumia ni za mtumba,
jiko la gas huna, unapikia mkaa,
simu ya Million moja ya nini kama life hujaiweka sawa? ya lakin 4 inatosha laki 6 unaifanyia jambo lingine
hata application za hiyo simu tunazotumia ni chache,
why usijifunge ukatafuta kiwanja taratibu ukaanza kujenga kwako?....
Mimi nikianza maisha nlibahatika kupata fedha za kufanyia research tukiwa chuo,nkapanga chumba,nkanunua makochi yale ya kukunja,na godoro na jiko la mafuta ya taa, na katv ka nchi 21
baadae nkanunua kiwanja,nkajenga taratibu kwa miaka 3 mjini
na kijijini nako nkajenga sambamba kidogo dogo nimeshamaliza kote
baadae nkachukua kamkopo nkaagiza kimkweche life goes on
kwa miaka 6 ya mwanzo niliofanya kazi nimeweza kufikia hapo,
sidaiwi tena mkopo zaidi ya ule wa loan board.
sikuwa na tamaa za vitu vya thamani kama simu au maredio makubwa
sasa ndio nafikiria investments za watoto na hizo simu nina kanokia lumia kananitosha.

Nyie ndio mnaokuwa vicheche uzeeni
 
Last edited by a moderator:
katika maisha kila mtu anazo priorities zako na si lazima kujua kwanini mtu ameamua kununua simu badala ya kujenga nyumba kwa mfano.
 
Habari za wakati wenu wana MMU!!
Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale wa magari mtu anaspend kudecorate gari pesa kibaao, mara chrome ream, sijui mapafyum na ukiangalia anapoishi ni sehem ya uswaz, anapikia mkaa, choo ni kupeana zamu kudeki.

Ni vyema maisha yetu ya nje yakareflect vile tulivyo, lazima kila kitu kiende mshazari na sio kuonesha show iko siku unatembelewa na jamaa wa ofisini unaeza goma enda nao kwako

Kwa hisani yangu mwenyewe
Washawasha, [MENTION]Bubuji[/MENTION]

Kuna ukweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom