Sisi Migambo pia tuheshimiwe. Naona kama tunatengwa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.

Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna msamalia kanitolea.

Nimeumia sana... Kwa nini sisi hamtuoni kazi tunazofanya? Leo nimekwazika sana. Maana siku hizi hata kukamata vyakula hamna. Zamani ilikuwa sometimes mnaenda kamata watu kariakoo mnapata na msosi wa kurudi nao home.

Sasa hivi hata matunda haya tunalazimisha tu kukamata watu wanaouza katikati ya barabara. Serikali au Jiji ituangalie. Kazi tunazofanya ni nzito na wengine hatujapandishwa vyeo.

Leo tumebishana sana na yule konda fala. Anasema kabisa kwa mazarau kuwa mgambo kitu gani. Yeye ndo wakusema hivi? Nimeli mark lile gari. Kuna siku tu tutaanzishiwa timbwili nitamzalisha yule fala. Yaani yeye wa kuonesha mazarau kabisa mbele ya mademu kwenye gari?
 
Kuna Huyu Msanii aliwapambania sana enzi hizo...

Nimemtafuta You tube simuoni. aliomba Migambo mthaminiwe, nanyi Mpendelewe vyeo na mikopo nanyi mpewe na serikali.
 
ni kweli mgambo ni sehemu ya jeshi tena siku hizi mnaitwa jeshi la akiba serikali kama imeshindwa kuwalipa posho au mishahara basi hata nauli ingekuwa imetoa tamko kama kwa askari wa majeshi mengine kwamba msilipe nauli kwa sababu kuna baadhi ya maeneo mnamchango mkubwa sana wa kuleta amani na utulivu ktk nchi hii
 
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.

Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna msamalia kanitolea.

Nimeumia sana... Kwa nini sisi hamtuoni kazi tunazofanya? Leo nimekwazika sana. Maana siku hizi hata kukamata vyakula hamna. Zamani ilikuwa sometimes mnaenda kamata watu kariakoo mnapata na msosi wa kurudi nao home.

Sasa hivi hata matunda haya tunalazimisha tu kukamata watu wanaouza katikati ya barabara. Serikali au Jiji ituangalie. Kazi tunazofanya ni nzito na wengine hatujapandishwa vyeo.

Leo tumebishana sana na yule konda fala. Anasema kabisa kwa mazarau kuwa mgambo kitu gani. Yeye ndo wakusema hivi? Nimeli mark lile gari. Kuna siku tu tutaanzishiwa timbwili nitamzalisha yule fala. Yaani yeye wa kuonesha mazarau kabisa mbele ya mademu kwenye gari?a
Nimecheka sana afande Mg Na.002022 kwa uzi wako, ipo hivi Mg vyeo vyenu ni zile V za kugeuzwa juu chini so ni uknown dunia nzima sema tu ombeeni K/koo chinga wapange vitu road ndo mpate mishe za kuiba vinginevyo mtakamata mama lishe na ipo siku mtamwagiwa mafuta ya maandazi usoni kwa ujuaji wenu.
Ila jamaa kakuaibisha mbele ya mademu hapo nami nimeumia sana kumoyo afande wangu,konda hayupo fair kabisa michuchu imekuina garasha du pole sana kwa hili tutapaza sauti kwa mama aingilie kati
 
Sasa unadhani wote tukikimbia hii kazi nani atafanya? Tuheshimiwe tu. Kwa nini sisi tulipe nauli na askari ,wanajeshi hawalipi?
hapo ndipo umekosea! Umeonesha kbs kuwa wewe sio askari, askari ni mwanajeshi na polisi.
ungesema hivi:

kwanini sisi askari jeshi la mgambo hatuheshimiwi kama askari wengne?
 
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.

Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna msamalia kanitolea.

Nimeumia sana... Kwa nini sisi hamtuoni kazi tunazofanya? Leo nimekwazika sana. Maana siku hizi hata kukamata vyakula hamna. Zamani ilikuwa sometimes mnaenda kamata watu kariakoo mnapata na msosi wa kurudi nao home

Sasa hivi hata matunda haya tunalazimisha tu kukamata watu wanaouza katikati ya barabara
nenda suma kaombe kazi SUMA JKT Acha kusubiri kukamata vyakula vya watu wewe
 
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.

Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna msamalia kanitolea.

Nimeumia sana... Kwa nini sisi hamtuoni kazi tunazofanya? Leo nimekwazika sana. Maana siku hizi hata kukamata vyakula hamna. Zamani ilikuwa sometimes mnaenda kamata watu kariakoo mnapata na msosi wa kurudi nao home.

Sasa hivi hata matunda haya tunalazimisha tu kukamata watu wanaouza katikati ya barabara. Serikali au Jiji ituangalie. Kazi tunazofanya ni nzito na wengine hatujapandishwa vyeo.[/QOUTE] Nenda SUMA JKT Wakupe kazi ya kufanya, usisubiri kukamata vyakula vya watu. Kakamate vibaka malindoni huko
 
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.

Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna msamalia kanitolea.

Nimeumia sana... Kwa nini sisi hamtuoni kazi tunazofanya? Leo nimekwazika sana. Maana siku hizi hata kukamata vyakula hamna. Zamani ilikuwa sometimes mnaenda kamata watu kariakoo mnapata na msosi wa kurudi nao home.

Sasa hivi hata matunda haya tunalazimisha tu kukamata watu wanaouza katikati ya barabara. Serikali au Jiji ituangalie. Kazi tunazofanya ni nzito na wengine hatujapandishwa vyeo.

Leo tumebishana sana na yule konda fala. Anasema kabisa kwa mazarau kuwa mgambo kitu gani. Yeye ndo wakusema hivi? Nimeli mark lile gari. Kuna siku tu tutaanzishiwa timbwili nitamzalisha yule fala. Yaani yeye wa kuonesha mazarau kabisa mbele ya mademu kwenye gari?
Sasa kama nyinyi ni chombo cha Dora, kamlalamikieni huyo Dora?
 
Poti waache hao hawajui fatiki imelala hapo.nyie hata ikitokea vita mnakua ni jesh la akiba mnaenda front kuweka mambo sawa.sema kakuonea mbona wale madogo wan jkt wanapandaga bure.ifike mahali waheshimu zile nguo
 
Back
Top Bottom