Sirro: Sakata la kina Roma kutekwa ni jambo la kawaida, awashangaa wasanii na Makonda kuingilia

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro amesema kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake ni jambo la kawaida huku akisitiza kuwa hayajaanza kutokea leo kwani ni tukio kama matukio mengine.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro

Kamanda Sirro amesema hayo baada ya kelele za watu kwenye mitandao ya kijamii ndani ya siku tatu, huku wasanii, wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa muziki kuja juu juu ya suala la kupotea vijana hao katika mazingira ya kutatanisha huku wengine wakihusisha tukio hilo na masuala ya kisiasa yanayoendelea nchini.

“Matukio ya utekaji hayajaanza leo, hili la kina Roma na wenzake ni tukio kama matukio mengine yaliyokuwa ya ujambazi kwa hiyo tupeni muda tupeleleze, tukifika mahali pazuri tutawaita tuwape taarifa lakini nimeona mitandao mingi inazungumza, jana nikaona wasanii wamekutana lakini nikajiuliza hivi yangekuwa haya matukio yanatokea ya uhalifu yanapotokea watu wanakutana ingekuwaje ?,

Jamani kazi hii tumepewa kwa mujibu wa Katiba na ni lazima tutimize wajibu wetu kwa hiyo tupeni muda tutakuwa na majibu mazuri katika hili”. Alisema Kamishna Sirro pindi alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari ofisni kwake Jijini Dar es Salaam

Aidha Kamanda huyo amesema mpaka sasa wameshaunda timu ya uchunguzi na inaendelea vizuri katika upelelezi huku akiwataka wananchi kuwa na subra kwa kuwa upelelezi ndiyo utasema kila kitu.

Kwa upande mwingine amewataka watu waache tabia ya kujifanya wao ndiyo ‘Kamishna Sirro’ na kutaka kuzungumzia habari za upelelezi hivyo amewataka watu kuliamini jeshi la Polisi kwa kuwa hawapendi vitendo hivyo viwepo na viendelee kutokea.

SOMETIMES FIRST IMPRESSION MARKS THE CONCLUSION "Utekaji ni tukio la kawaida tu ..!!"
 
Angetekwa mwanae angesema ni tukio la kawaida?
 
Kwa kauli hizi za wakuu wetu wa ulinzi inaonyesha wazi wazi kwa namna moja au nyingine vyombo vya ulinzi vinausika moja kwa moja
 
Nadhani wasanii wa muziki, wanaogopeshwa wasiendelee kutoa nyimbo za kukosoa serekali.
 
Very interesting!! Tanzania Yawa Nchi ya Kwanza Kutangaza Kuwa "Kidnapping" sio Criminal Case" Yani ni Jambo la Kawaida tu Kama Kuangalia VPL pale Uwanja Wa Taifa
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro amesema kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake ni jambo la kawaida huku akisitiza kuwa hayajaanza kutokea leo kwani ni tukio kama matukio mengine.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro

Kamanda Sirro amesema hayo baada ya kelele za watu kwenye mitandao ya kijamii ndani ya siku tatu, huku wasanii, wanasiasa pamoja na wadau mbalimbali wa muziki kuja juu juu ya suala la kupotea vijana hao katika mazingira ya kutatanisha huku wengine wakihusisha tukio hilo na masuala ya kisiasa yanayoendelea nchini.

“Matukio ya utekaji hayajaanza leo, hili la kina Roma na wenzake ni tukio kama matukio mengine yaliyokuwa ya ujambazi kwa hiyo tupeni muda tupeleleze, tukifika mahali pazuri tutawaita tuwape taarifa lakini nimeona mitandao mingi inazungumza, jana nikaona wasanii wamekutana lakini nikajiuliza hivi yangekuwa haya matukio yanatokea ya uhalifu yanapotokea watu wanakutana ingekuwaje ?,

Jamani kazi hii tumepewa kwa mujibu wa Katiba na ni lazima tutimize wajibu wetu kwa hiyo tupeni muda tutakuwa na majibu mazuri katika hili”. Alisema Kamishna Sirro pindi alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari ofisni kwake Jijini Dar es Salaam

Aidha Kamanda huyo amesema mpaka sasa wameshaunda timu ya uchunguzi na inaendelea vizuri katika upelelezi huku akiwataka wananchi kuwa na subra kwa kuwa upelelezi ndiyo utasema kila kitu.

Kwa upande mwingine amewataka watu waache tabia ya kujifanya wao ndiyo ‘Kamishna Sirro’ na kutaka kuzungumzia habari za upelelezi hivyo amewataka watu kuliamini jeshi la Polisi kwa kuwa hawapendi vitendo hivyo viwepo na viendelee kutokea.

SAWA NI KWELI KWAMBA WANAHITAJI MUDA WA KUTOSHA
ILA
siyo wote akili zetu hazina kumbukumbu sawia, kama ni muda tuliwapa wakutosha kwenye utekeaji wa Ulimboka, Kibanda na mauaji ya MAWAZO hivyo tunaweka kando suala la Roma atupatie majibu sawia katika hiyo mifano ya kitambo na mingine mingi waliokalia hadi leo,
kuhusua suala la kupewa kazi hizo kwa mujibu wa katiba; ni vyama tukamkumbushe kwamba amepewa kazi hiyo kwa mujibu wa katiba na sheria ili awatumikie watanzania na siyo kikundi au watu baadhi
 
Eti nauliza tu "walinzi wa pale Dodoma ambao bunduki za kivita zilitumika kumshambulia mtu asiyependwa walishakamatwa ama kuhojiwa? Hivi kwa Azori wangapi walihojiwa? Hivi kwa.. hivi kwa.."
Eeh Bwana Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyo baina yake sisi sote marejeo ni kwako. Tunaomba utupe subra na imani, Wewe Pekee ndiye mpindua hila, wewe pekee ndio uwapao wanyonge haki dhidi ya watesi na madhalimu. kwako tunarejea na tunakuomba ulinzi eee Mola wetu kwetu binafsi na kwa nchi yetu. Ameen.
 
Back
Top Bottom