Siri ya Ulaya kupendekeza mamiss kuwa potable kumbe ni ile tabii yao ya bwana harusi kumbeba...

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Kumbe enzi za nyuma inasadikika mfalme alioa binti kibonge wakati wa picha
kumbeba ikawa kazi kubwa ya kuchosha na ya nguvu sasa hawa jamaa
wakaanzisha mfumo maalum kwamba wadada wawe vipotable na ndio hapo
ilipoanzia suala la mamisi

Sisi huku ingetakiwa tuwe na miss bantu sasa tumejipotosha na tukaanza
tukawaiga wao sijui itakuaje hapo...nakosa binti aliyejaza kama Mnyakyusa hivi
yaani aliyeshiba umbo nane ya ukweli sio mchina.......ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
 
Hivi Harakat, uko usingizini? mbona unaleta issues za chit chat kwenye siasa bana, angalia uko kwenye jukwaa gani before you post your thread
 
Back
Top Bottom