Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani hasa! mbaya zaid baadhi ya taasisi za serikali sijui wana madaraja yao?? mf,unawezakuta tangazo lina poss 4,puts. n.k madaraja ambayo hatuyaoni kwenye salary scale za serikal! sasa je kwanini madaraja yote yasibainishwe na pesa zake taslim kuliko kuwafumba macho wasaka ajira??? nakaribisha maoni kwa wanaojua zaid masuala haya!