Sipendi kuamini lakini ndivyo ilivyo kwa mh. Kikwete

This is very correct. Chaguo la mungu. Sijui yeye atatuachia chaguo la nani.

Mnaeza sema ni chaguo la Mungu wakati shetani nae ana chaguo lake, ukitizama mambo yanavyokwenda hayaendi kimungu Mungu kabisa
 
Rais wetu yuko makini sana. Jasiri sana jamani.
Ila tu ni kwenye kulinda na kucreate fursa kwa watu wake, anajenga heshima sana kwa watu wake, nyie mlioko nje ya mzunguko wake poleni.

Ndo maana akasema uli alosaini una makosa mengi sana ila asiposaini wenzake hawatamwelewa imetudhihirishia kuna wenzake wamemweka pale na siyo kwamba anafanya vitu kwa maslahi ya Taifa
 
Ni kweli JK ni chaguo la mungu na Lowassa ndiye chaguo la Mungu!, hivyo JK ambaye ni chaguo la mungu, anatuachia Lowasaa ambaye ni chaguo la Mungu!.

Kama Jk ni chaguo la Mungu El atakuwa chaguo la shetani
 
Yule JK siyo kwamba anacheka kama tunavyodhani! La hasha, bali ni mlemavu wa mdomo. Lips zinaachia zenyewe kwa vile kuna tissues muhimu zimekufa. Hacheki wala hatabasamu, Tumsamehe bure

Ha ha ha kumbe kuna aina kama hiyo ya ulemavu tena?
 
Jk hana tofauti na mti wa ASHOK( maarufu kama MU ashok)........mti huu haufai kwa kivuli..huwezi kutengeneza mbao kwa ajili ya fenicha...huwezi kujengea nyumba..huwez kuufanya kuni na upikie..haufai kuwa mkongojo..zaid sana mti huu huwa ni pango na makazi ya wale nyoka wa kijan..ndivyo alivyo kikwete

Kama ndo hivyo basi hatari sana
 
Kuna kitu watu husema a big smile fools foolish people. Tu take tusitake sisi Wtz ni wapumbavu. Tunakubali kudanganywa na malaghai kwa tirshet, kofia na kanga na mijitabasamu na vichekocheko vya kijinga. Mungu tuzaidie!!!
 
Nadhani Pasco kuna kitu uneahidiwa ndiyo maana unakuwa mtumwa wa akili yako. Yaani vitu viko wazi unashindwa kuviona kabisa, nauchukia sana ushabiki wa kisiasa maana unatupeleka kuzimu.

Ni kweli JK ni chaguo la mungu na Lowassa ndiye chaguo la Mungu!, hivyo JK ambaye ni chaguo la mungu, anatuachia Lowasaa ambaye ni chaguo la Mungu!.
 
Ni kweli JK ni chaguo la mungu na Lowassa ndiye chaguo la Mungu!, hivyo JK ambaye ni chaguo la mungu, anatuachia Lowasaa ambaye ni chaguo la Mungu!.
kila sehemu lazima umtaje lowasa
its boaring.......

pasco kaka, jiheshimu acha kuuza utu wako.
 
kikwete ni kiongozi mwenye kusikiliza matakwa ya watu wake.tatizo nyie wenye chuki binafsi ndo hamuwezi kuona mazuri yake.mtakufa na roho zenu nyeusi.
 
moja ya mambo muhimu tutakalokumbuka kutoka kwa Kikwete ni uhuru wa KUTUKANA HAPA JF badala ya kuutumia uhuru huo kujadiliana mambo ya maendeleo
 
.Ila jamani tokea mwanzo tulisema,na watu wakasema anatufaa wakamchagua,kisa sura yake nzuri,pigeni naye picha basi.naye anasema amethubutu,ameweza,na anasonga mbele
 
makala hii ni ndefu kupindukia sina hakika kama madhumuni yake ni hapa Jf au ulitaka kutuma gazetini
 
maneno ni mengi mwisho umeharibu hata radha ya thread yako. kama wewe ndiye ungekuwa Rais usiyekuwa na summary basi ungepoteza muda mwingi wa kusimamia maendeleo.
 
nchi haijengwi kwa kumtukana Rais hata kama hukumpa kura muda wako mwingi utaupoteza kwenye matusi mwisho tutakuta masuala ya msingi ikiwemo katiba yametupita hapo itakuwa 2015
 
nchi haijengwi kwa kumtukana Rais hata kama hukumpa kura muda wako mwingi utaupoteza kwenye matusi mwisho tutakuta masuala ya msingi ikiwemo katiba yametupita hapo itakuwa 2015

Mama Porojo mwandishi anatuelimisha kwa kutumia makosa tuliyofanya chaguzi ya 2005 kuwa tusijerudia kuleta kiongozi kwa vigezo tulivyomletea huyu. Ni kichaa tu ndiye hawezi kuona kuwa nchi iko kweye coma. Yaani hatusongi mbele bali tunazidi kupoteza hata kile kichache tulichokuwa nacho.
 
Back
Top Bottom