Sioni sababu ya Yanga Sc kumuacha Yanick Bangala Kama tetesi zinavyoimbwa kuwa atatupwa kwa mkopo Singida fountain Gate.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Yanick Bangala kwangu Mimi bado ni kitasa haswaa tena ni mchezaji mzuri japo kuwa Yanga inaviungo wakabaji wengi lakini ukipiga hesabu za uchezaji namba sita (6) hakuna wa kumfikia Yanick Bangala.

Inasemekana Bangala anatolewa kwa mkopo kwa sababu ya nidhamu haswa kwa kosa la kudai posho na bonus zilizoahidiwa Mara kwa Mara kuonekana ni msumbufu mbele ya viongozi.

Kwangu Mimi Yanick Bangala hakuna kiungo atakayeweza kumfikia kwa uchezaji wake na viongozi wa Yanga sc wasijidanganye na kujifariji kwa ujio wa Jonas Mkude.

Kama wachezaji wanadai stahiki zao wapewe kuliko kuanza kuwatoa kwa mkopo.
 
Kwa hyo mtu kudai haki yake ndio usumbufu

Nchi hii ngumu Sana had serikal kujadili mkataba wowote n usumbufu
.aliyeturoga nadhan kafa
 
Yeye na mwenzie djuma walitest maji Kwa mguu,sasa wanatumbukia.......walituma barua za maombi ya kuvunja mikataba kutingisha kiberiti,Yanga wakasajili kwanza wachezaji kwenye nafasi zao,then wakawajibu kwamba maombi yenu yamekubaliwa leteni hela ya kuvunja mikataba 😀😀😀.Wakaanza kulia lia......Na Djuma ndiye muanzisha migomo kwa wakongo wenzie wanataka kumuondoa tu akifuatiwa na Bangala
 
Yanick Bangala kwangu Mimi bado ni kitasa haswaa tena ni mchezaji mzuri japo kuwa Yanga inaviungo wakabaji wengi lakini ukipiga hesabu za uchezaji namba sita (6) hakuna wa kumfikia Yanick Bangala.

Inasemekana Bangala anatolewa kwa mkopo kwa sababu ya nidhamu haswa kwa kosa la kudai posho na bonus zilizoahidiwa Mara kwa Mara kuonekana ni msumbufu mbele ya viongozi.

Kwangu Mimi Yanick Bangala hakuna kiungo atakayeweza kumfikia kwa uchezaji wake na viongozi wa Yanga sc wasijidanganye na kujifariji kwa ujio wa Jonas Mkude.

Kama wachezaji wanadai stahiki zao wapewe kuliko kuanza kuwatoa kwa mkopo.
Kuanzia katikati ya msimu alishakuwa kashuka kiwango,akabaki mpiga majungu tu na mwenzie Djuma
 
Djuma na bangala ndio walitengeneza makosa ya goli mechi ya derby .

Djuma ndio alijisahau kukaba akaacha gepu usm wakafunga goli la pili kiurahisi

Hata wote Wawili wakiondoka bado sio hasara
 
HUYU Bangala ilikuwa asajiliwe Simba Mwaka 2019-20

Bahati Mbaya KOCHA seven (kishingo) wakati HUO akiwa Far Rabat alikataa.

ALISEMA Bangala ni mchezaji mzuri sana beki kitasa ila anamatatizo makubwa sana ya kinidhamu. Simba hamtaweza kuyavumilia.

Awakaamua KUMSAJILI Enock Inonga baka Varane.
kishingo alikuwa Hana maamuzi ya nani asajiliwe, maamuzi yalikuwa kwa kina Hanspope. yeye maamuzi yake yalikuwa nani ampange acheze.
 
Mimi nasubiria tu siku ya Mwananchi, na pia msimu mpya wa ligi uanze.
Mtani wangu siku yenu ya wananchi haiwezi kuwa kipimo sahihi..ni mapema sana sidhani kama timu yenu imeungana..subiria tu msimu uanze.
 
U MVP wa Bangala ulikuwa Wa Mchongo..!

Inawezekana Vip miezi 12 iliyopita uwe MVP halafu ghafla aporomoke kiwango kiasi cha kupewa Thank you.!
 
Acha waondoke tumeleta wachezaji wazuri zaidi
Bangala anakabia macho
Mzito mno
Labda alikutana na starehe za dar zikammeza
 
HUYU Bangala ilikuwa asajiliwe Simba Mwaka 2019-20

Bahati Mbaya KOCHA seven (kishingo) wakati HUO akiwa Far Rabat alikataa.

ALISEMA Bangala ni mchezaji mzuri sana beki kitasa ila anamatatizo makubwa sana ya kinidhamu. Simba hamtaweza kuyavumilia.

Awakaamua KUMSAJILI Enock Inonga baka Varane.
Aiseee apewe tuzo
Maisha bila Inonga bacca varane hata Yanga wasingeenjoy
 
Back
Top Bottom