Sioi wa CCM kumshinda Nassari wa CHADEMA kwa tofauti ndogo sana ya kura

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Kwa jinsi karata zinavyochangwa na timu za kampeni kwa pande zote mbili, ni dhahiri kuwa Sioi wa CCM ataibuka mshindi kwa tofauti ndogo sana ya kura.

Laiti kama CHADEMA wangekuwa makini zaidi, na pia kama wasingepoteza 'concentration' kwa kauli ya Zitto kutamani urais 2015, mambo yangeweza kuwa tofauti.

Anyway, ushindi kwa Sioi wa CCM ni ushindi tu, hata kama itakuwa ni kwa kumzidi mpinzani wake kwa kura kiduuuchu!!
 
Uko biased sana. Itolee ufafanuzi yakinifu hoja yako otherwise wewe ni kupe mwandamizi.
 
Kama uchaguzi ukiwa wa huru na haki Nassari atashinda kwa zidi ya tofauti ya asilimia 8. Hii ni kwa tathimini niliyoifanya kwenye vijiji 38 vya arumeru mashariki
 
Kwa sera hizi mlizomwagwa Arumeru mtaaibika sana,

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee????????????????????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa jinsi karata zinavyochangwa na timu za kampeni kwa pande zote mbili, ni dhahiri kuwa Sioi wa CCM ataibuka mshindi kwa tofauti ndogo sana ya kura.

Laiti kama CHADEMA wangekuwa makini zaidi, na pia kama wasingepoteza 'concentration' kwa kauli ya Zitto kutamani urais 2015, mambo yangeweza kuwa tofauti.

Anyway, ushindi kwa Sioi wa CCM ni ushindi tu, hata kama itakuwa ni kwa kumzidi mpinzani wake kwa kura kiduuuchu!!

kwa tathimini zetu za ndani,ni kwamba SIOI atashinda kwa asilimia zinazozidi 60! tunakubali cdm wametupa changamoto kadhaa ila mwisho wa siku ccm lazima waibuke washindi
 
@the Flamboyant, hoja yangu iko wazi kabisa na kama unafuatilia kampeni vizuri utakubaliana nami. Wapiga kura ndio wenye utashi wa kuamua, mwanzoni kuna wengi kati yao walikuwa na kinyongo 'why Sioi' ila hao wamebadilishwa upepo na kampeni za CCM. Kundi hilo dogo la wapiga kura wasio wa mlengo wa kulia wameona mwanga kwamba Sioi atapata sapoti ya uongozi wa Serikali kuu na hivyo kutatua matatizo sugu hasa ardhi, maji na afya.

Masaa 72 yajayo yatathibitisha hoja hii. Rejea mchango wangu katika uchaguzi mdogo uliopita katika jimbo la Igunga. Kwa mantiki hii, kama Mkapa asingerudi tena Arumeru, na kama Lowassa asingepanda jukwaani jana, nisingetoa mwelekeo huu.

Ushindi wa Sioi upo dhahiri, ila kwa kura kiduuuchu!!!

Kama ulivyo msemo maarufu wa mtandao wa Vodacom 'kazi ni kwako'!!!

NB: President Elect, ni muadilifu na hoja zangu haziko biased, siwezi kamwe kuwa kupe wala kunguni au kunguru!!!
 
Mbona Nape hajitosi hapa kuizungumzia issue ya "ushindi" wa ccm huko Arumeru? Maana naona wenyewe wameshakata tamaa yamebaki makapi tu yanatuchafulia hewa humu JF!
 
Mbona Nape hajitosi hapa kuizungumzia issue ya "ushindi" wa ccm huko Arumeru?

I'll challenge you in the next 72hrs.

You know the truth, Nape knows the truth, and I know the truth. The CCM candidate , Sioi will emerge the winner by a very narrow margin!!
 
@the Flamboyant, hoja yangu iko wazi kabisa na kama unafuatilia kampeni vizuri utakubaliana nami. Wapiga kura ndio wenye utashi wa kuamua, mwanzoni kuna wengi kati yao walikuwa na kinyongo 'why Sioi' ila hao wamebadilishwa upepo na kampeni za CCM. Kundi hilo dogo la wapiga kura wasio wa mlengo wa kulia wameona mwanga kwamba Sioi atapata sapoti ya uongozi wa Serikali kuu na hivyo kutatua matatizo sugu hasa ardhi, maji na afya.

Masaa 72 yajayo yatathibitisha hoja hii. Rejea mchango wangu katika uchaguzi mdogo uliopita katika jimbo la Igunga. Kwa mantiki hii, kama Mkapa asingerudi tena Arumeru, na kama Lowassa asingepanda jukwaani jana, nisingetoa mwelekeo huu.

Ushindi wa Sioi upo dhahiri, ila kwa kura kiduuuchu!!!

Kama ulivyo msemo maarufu wa mtandao wa Vodacom 'kazi ni kwako'!!!

NB: President Elect, ni muadilifu na hoja zangu haziko biased, siwezi kamwe kuwa kupe wala kunguni au kunguru!!!
Mkuu, umetoa tathmini ya upande mmoja unaoonyesha CCM watashinda lakini kwanini isiwe kwa CDM?
 
Back
Top Bottom