Single n Searching: HERE IS WHERE LOVERS MEET!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
S/M MBUYUNI,
KCU KISHUMUNDU
P.O.Box 2000,
URU.

Halow,

Pokea salamu nyingi. Utakapo kujua hali yangu ni nzuri wa afya. Wasiwas ni wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Madhumuni ya kukuandikia barua hii ni kukujulisha kuwa nakupenda sana. Mwenzako kulala silali, ndoto haziishi. Nikinywa maji nakuona kwenye glass. Tafadhali,najisikia vibaya kama ukinikatilia. Nitakunywa sumu kwa ajili yako.

Nasubiri kwa mashamsham majibu ya barua hii.
Ni mimi
Pasco Jr.
2/2/1996
 
Daaa umenikumbusha mbali, ngoja na mi nimwandikie mtu fulani hivi barua ya zaman.
 
no unaweka YU,afu chini unamalizia kwa kuchora makopa kopa lol:laugh::laugh:

nina barua moja hivi niliiandika mwaka 1991 wakat huo hata 18 bado sijafika, eti nilikuwa najifunza kuandika love letter
Enzi hizo kuna gazeti lilikuwa linaitwa MFANYAKAZI nikawa naibia maneno fulani ndani yake . . . . ngoja nitaipost hapa jamvini one day
 
Back
Top Bottom