Sindano ya testosterone

kwe2tu

Senior Member
Dec 30, 2023
109
173
Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???

Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi

Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Zakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?
 
Sidhani kama kuna daktari utamuuliza maelekezo au faida ya dawa bila kujua wewe una shida gani au kitu gani kinakusibu mpaka uhitaji hizo sindano za kuongeza level za testesterone mwilini.

Japokua kwa maelezo yako mafupi naamini ina uhusiano na upungufu za nguvu za kiume au "uanamme" mfano sauti, body posture na tabia etc.

Madaktari watakuja kukupa miongozo
 
Back
Top Bottom